Recent content by Lkkl

  1. L

    Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

    Kwani wara Kwani waraka unasemaje kuhusu sisi wananchi🤔🤔
  2. L

    DOKEZO Afisa Elimu wilaya ya Sikonge (msingi) anakula rushwa, pia anatumia madaraka yake kukandamiza wengine

    ww ndio una laana. Unadhani watu wenye akili wanajibu hivo? Yeye ametoa tuhuma. Kinachofuta ni kufikir na kufuatilia. Sasa we unaanza kushambulia kada🤣🤣🤣. ww kada gani kwan?! Acha ushamba
  3. L

    KWELI Mamba (Gustave) anakadiriwa kuua watu takribani 300 Ziwa Tangayika

    Yule jamaa muongo sana. Kwa kuwa wikipedia n mtamdao unaoruhusu editing ya baadhi ya vitu ndio kaenda kaedit edit pale halafu anatuma uongo
  4. L

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Naamini Raisi wetu ana nia njema lakini swali viongozi wetu wanafanya kazi bila usimamizi wa karibu wa Raisi? Tutafakari hilo
  5. L

    Serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji

    Jamn kwa jua hili Tunaomba serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji maana hali c hali
  6. L

    Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

    Hata mimi nahisi mleta uzi amejificha ngozi ya wema ila anamtakia mama mabaya
  7. L

    Hongera Serikali kuwatupa nje viongozi wa dini katika timu ya dira ya taifa, ni muelekeo mzuri

    Kwahiyo kitendo cha wao kufokuwemo ni furaha kwako? Acha chuki wivu na umasikini wa kufikiri. Et hawana utalaamu? Utalaamu gani? Nani mtaalamu sasa wa dira ya taifa unaemjua? Kuwa kiongozi wa dini unadhan sifa ni kuwa mtoto wa kiongozi au kujuana? Hapo watu wote wana fani na wao ndio wanakaa na...
  8. L

    Padri Kitima: Bunge letu linafikiri kichama. Upeo wa kuchambua masuala ya nchi yetu umeshuka

    Swala kubwa hapa ni mfumo wa elimu kwanza heshima ya elimu imeshuka ndio maana mtu anajisifu bungeni kuwa hajasoma na hii imetokana na mfumo at nasikia kwamba leo diploma au degree holder ni mkuu wa shule halafu master holder ni mwl wa kawaida kisa huyu ni chawa huyu haeleweki chama chake ila...
  9. L

    Hoja za mwalimu aliyeomba kusitishwa kwa sherehe za walimu Disemba 13, ambazo zinatumia bilioni 7

    Nashauri bajeti hiyo ya 7 B ilipe hao walimu stahiki zao kuliko sherehe 😁😁😁
  10. L

    Prof. Ndalichako: Rais Samia Afanya Makubwa Kwa Wastaafu. Alipa Madeni ya Trilion 2.17 Zilizokwama Toka 1999

    Ila serikali bana hata juzi niliona uzi watumishi wanasema hata uhamisho hawajalipwa lakn majukwaani 😂😂😂 sasa tangu 1999 leo unampa 2023 na unajisifu!!!!
  11. L

    Rais Samia na Dkt. Mwigulu Nchemba, hili wanalolifanya TRA huenda likaigharimu CCM 2025

    Ulita aanzeje kutukana? Kwan kweli Raisi hakufanya hayo? Kuna sehemu amedanganya? Halafu unamwambia shem on you badala umuelekeze kwa hiyo sheria aelewe? Tulia kidogo ndg yangu utafakari
Back
Top Bottom