Hilo la kumrusha si kushauri Hata Kama anafanya vizuri.
Ni vema ukamwacha akamaliza la Saba maana darasa la sita limebeba mambo mengi saana ni Bora akayasoma ili asisumbuke mbeleni.
Hiyo ya kurusha ni changamoto Ambayo tunaipata ambao tuna shule za English medium. Nashauri umwache amalize
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.