Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
- Thread starter
- #21
ni version gani?mbona mm inanambia ipo up to date... na haina video call
ni version gani?mbona mm inanambia ipo up to date... na haina video call
Yowhatsapp inatuma mb700Wadau mnaotumia hii kitu naomba kujuzwa utumaji wa file kupitia hii app inatuma ukubwa kiasi gani mwisho...?.
Yowhatsapp inatuma mb700
Wadau kwa security zaidii msipende kutumia iyo gbwhatsapp
Mm mbona kwangu inakataa kwenye video callBofya contact ya mtu utaona kitu kama hichi....then binya hiyo icon inayoonekana kama camera ya kushootia videoView attachment 390603
Inasemaje? Weka screenshotMm mbona kwangu inakataa kwenye video call
Inasemaje? Weka screenshot
Unayempigia hana hiyo GBWhatsApp
Ooh mpk wa gb whatsapp tuUnayempigia hana hiyo GBWhatsApp
Ndio, ya kawaida haina video callOoh mpk wa gb whatsapp tu
sawa!!Ndio, ya kawaida haina video call