Recent content by Living kereth

  1. Living kereth

    Mtaalamu wa ujenzi wa mashimo ya vyoo

    Kwa majina Naitwa PETER LIVING Mkaazi wa bagamoyo Mkoa wa pwani ni MTAALAMU wa UJENZI wa MASHIMO ya choo majumbani taasisi na kwenye makampuni ...pia ni MTAALAMU nzuri kwenye shimo linalojaa Mara kwa Mara yaani maji yanajaa kwa wiki au wiki mbili ..nipigie kwa ajili ya kutatua tatizo lako kwa...
  2. Living kereth

    Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

    Jamaaa namkubali sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Living kereth

    CHADEMA Inaweza kuvunja historia ya kutia aibu

    Kuna kipindi nilisemaga Mzee mamvi alijiunga chadema ili akakiue chama watu mkataa lakini amini mzee lowassa ndiye alisababisha chama Cha demokrasia na maendeleo kiwe kama kilivyo sasa
  4. Living kereth

    Simulizi fupi kuhusu Mimi

    Mkuu nashukuru sana kwa maelekezo haya maana umenifumbua macho na kunipa mwanga nilikuwa sina hii idea kwa kuwa nimeipata na hii link ninafuata maelekezo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Living kereth

    Simulizi fupi kuhusu Mimi

    Kuhusu suala la mtaji Mkuu kwa kweli sina ila nalifikiria sana hilo jambo ..ila shida kazi ambayo ndo mtaji Wa kuanzia ili nipate kipato sipati za uhakika Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Living kereth

    Simulizi fupi kuhusu Mimi

    Nimefurahi sana kuona majibu yenye kunipa matumaini ila mbali na hizi shukrani zangu za dhati napenda kumjibu ndugu mmoja alieniuliza swali Kuhusu kujichanganya ... Huwa najichanganya sana na watu wanaofanya kazi hizi na Mara nyingi nafanya nao kazi kwa weledi mzuri unaridhisha kwa kiasi...
  7. Living kereth

    Simulizi fupi kuhusu Mimi

    Napenda kujishughulisha hasa kupitia fani na kipawa alichonipatia mwenyezi mubgu mwingi Wa rehema kazi yangu ni Fundi ,Masonry ,plumber,home garden designer but pamoja na kuwa na uwezo huo kipato changu ni kidogo kutokana na ufinyu Wa kazi pamoja na kazi ambazo huwa nikizipata kuzifanya kwa...
  8. Living kereth

    Baada ya waraka sasa viongozi wa dini waombe nchi za nje wachukue hatua

    Siku zote ili nifankiwe kukutawala lazima nikunyime kitu kimoja muhimu ambacho ni elimu ...serikali imelifanikisha hili kwa asilimia mia moja
  9. Living kereth

    Hongera Rais Hongera sana kwa ndege mpya

    Serikali tutakujua tu kwa weledi wako katika kulitumikia taifa hata kama namba za simu usingetoa tungekuona tu kama ww ni mchapakazi lazima tutakufahamu acha sifa za kijinga pumbavu
  10. Living kereth

    SUMA JKT wameanza lini kutolipa nauli kwenye mabasi?

    Una uhakika gani kama mafunzo ya mgambo na JKT ni tofauti na mgambo ??? Kijana kama hujui jambo jaribu kujifanya mjinga mambo mengi utayafahamu ...usichanganye story za kuambiwa huko vijiweni uje kubishana huku kwenye media ...# isaya manase # take care ndugu ....
  11. Living kereth

    Maziko ya Mbwa wa Nassari yalivyowakera WanaChadema

    Mbwa ni kiumbe mwaminifu kuliko wewe mjinga kama wewe kama inakukera hama chama hujalazimishwa kuwa chadema mjinga we we ....ni heri yeye aliyejali haki za wanyama kuliko wewe usijali haki za binadamu ...
  12. Living kereth

    Nimeumia sana baada ya kuona mwanaume ninayempenda akitafuta mke jukwaa là Love connect

    Pole beby wangu nilikuwa natania tu wala hata sio kweli
  13. Living kereth

    Natamani kupenda tena

    Nakushauri mtafute mwanaume Wa maisha yako na awe mumeo pia mzae watoto wazuri mkatekeleze amri ya mungu sawasawa na mapenzi yake ...umheshimu nawe akuheshimu ...lakini haya yote hayatakamilika kwa mwanadamu Dada ila ni kwa kumtanguliza mungu mbele ...ili akatete na mwanaume utakaekutana nae awe...
  14. Living kereth

    Natamani kupenda tena

    Kuwa mkweli basi Nimegundua kwamba wewe unamtafuta unaemtaka ..yaani unamwangalia mtu kwa wasifu Wa nje ...coz mwanaume anaekutokea Leo then umpende Leo Leo ..sina uhakika kama utamfahamu kiundani ...je unatumia njia kumgundua unaempenda wewe kama na yeye atakupenda
Back
Top Bottom