Hongera Rais Hongera sana kwa ndege mpya

DR MANJALA

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
306
Reaction score
232
Naomba nikupongeze kwa kusimamia ununuzi Wa ndege mpya nimeiona live ,nikupe moyo tu kuwa uko kwenye line nzuri unaenda vizuri sana katika swala ka uchumi,nilikuwa najiuliza sana utatoa wapi hela jibu umenipa pale terminal one,kazana songa mbele malizia reli sgr na ule umeme ,Mimi ni mwalimu za shule zako wanafunzi wetu wanafurahia sana elimu bure ingawa kuna changamoto ndogo

tu za hapa na pale ,nakukubali sana dr magufuli kwa uzalendonakuelewa sana hadi phd yako nilikuona pale udsm ukisoma hongera sana pongezi kwa walimu wetu wa kemia prof mubofu ,buchweshaija na wengine mmetupa rais anayejua chemistry na hesabu vizuri ,namoongeza mwl mwenzangu wa kemia, viongozi wetu wa kiroho tuwaache watuombee mimi mseminary mwenzio napenda imani yetu katoliki usiwajibu mungu atawajibu kama leo alivyowajibu kwa bomberdier ,tusiwakejeli watatunyima kitubio,watajionea wao wenyewe,wewe ni joshua unayebeba kazi za musa naamini utashinda na kutupeleka nchi tuitamaniyo,sijapata nafasi ya kukusaidia natamani kufanya kazi nawe maana nafurahishwa sana nawe I wish to be a part your admistration ,lakini yatosha huku niliko ntakutetea na kuwaelimisha wananchi juu yako asante sana mungu akaae upande wako
Paschal manjala 0759273653
Mwalimu wa chemistry (udsm 2012 bsc ed)
 
Umesahau kuandika kuhusu kuboreshwa kwa maslahi ya watumishi wa umma.MATOKEO MAZURI,YANAPATIKANA KWA MASLAHI YALIYO BORA.ALIAHIDI,MPAKA SASA UTEKELEZAJI BADO!
 
Mnatuletea mandege wakati hospitalini hakuna madawa
 
Serikali tutakujua tu kwa weledi wako katika kulitumikia taifa hata kama namba za simu usingetoa tungekuona tu kama ww ni mchapakazi lazima tutakufahamu acha sifa za kijinga pumbavu
 
Hizo hela kauza bamia kwenye shamba lake shato?

Atakapoondoka zitapigwa hesabu itagundulika kuwa alikuwa anaunua ndege bila kufuata utaratibu huku akijipakulia mpunga kifisadi!
 
Naomba nikupongeze kwa kusimamia ununuzi Wa ndege mpya nimeiona live ,nikupe moyo tu kuwa uko kwenye line nzuri unaenda vizuri sana katika swala ka uchumi,nilikuwa najiuliza sana utatoa wapi hela jibu umenipa pale terminal one,kazana songa mbele malizia reli sgr na ule umeme ,Mimi ni mwalimu za shule zako wanafunzi wetu wanafurahia sana elimu bure ingawa kuna changamoto ndogo

tu za hapa na pale ,nakukubali sana dr magufuli kwa uzalendonakuelewa sana hadi phd yako nilikuona pale udsm ukisoma hongera sana pongezi kwa walimu wetu wa kemia prof mubofu ,buchweshaija na wengine mmetupa rais anayejua chemistry na hesabu vizuri ,namoongeza mwl mwenzangu wa kemia, viongozi wetu wa kiroho tuwaache watuombee mimi mseminary mwenzio napenda imani yetu katoliki usiwajibu mungu atawajibu kama leo alivyowajibu kwa bomberdier ,tusiwakejeli watatunyima kitubio,watajionea wao wenyewe,wewe ni joshua unayebeba kazi za musa naamini utashinda na kutupeleka nchi tuitamaniyo,sijapata nafasi ya kukusaidia natamani kufanya kazi nawe maana nafurahishwa sana nawe I wish to be a part your admistration ,lakini yatosha huku niliko ntakutetea na kuwaelimisha wananchi juu yako asante sana mungu akaae upande wako
Paschal manjala 0759273653
Mwalimu wa chemistry (udsm 2012 bsc ed)
Nonsensical thread
 
HUYO NI MWALIMU SASA TAFAKARI, MWANAO ANAFUNDISHWA NAYE KISHA AKILI KICHWANI.
 
Mwalimu gani wewe hujui nukta, mkato wala matumizi ya herufi kubwa na ndogo? Pia umelemea sana kwenye mapenzi zaidi ya uhalisia. +25477256235
 
Nilikua natype nikiwa nadrive toka uwanja wa ndege.
 
Back
Top Bottom