Recent content by LiSaPa

  1. L

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya majimbo ya Kanisa Katoliki kusali(misa) Jumamosi (24/10/2015)

    hebu nijuze vizuri hiyo amri imeandikwa kwenye biblia gani nami nikatafute
  2. L

    JamiiForums Tanzania Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

    unadhani utakuwa na huo muda wa kujadili vitu vingine wakati ushauza nchi....st...d!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

    ndio mujiulize hamjui mnamfata tu.. sold your souls to devil.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa akataa mdahalo na Magufuli isipokuwa...

    Team Lowasa mna jazba!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    wachaa waisome number eeeeeeeeeeeeh!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Dr. anamwaga mboga kwkwkwkkw
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Ccm b zamu yetu
  8. L

    JamiiForums Tanzania RATIBA ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA na mgombea mwenza

    lowasa atakuwa hajitambui by then itakuwa kazi yake imeisha nchi wanaendesha wengine.....
  9. L

    JamiiForums Tanzania RATIBA ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA na mgombea mwenza

    unataka aje na gari kwa mfano unamtakia nini huyu mzee wa watu.. hapo maneno chopa tu
  10. L

    JamiiForums Tanzania RATIBA ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA na mgombea mwenza

    mikoa mingine atakuwa anamuwakilishi..... wakati yeye anabust afya.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mbegu za GMO na mipango ya New World Order, tunaenda wapi??

    Wadau nawashukuru sana kwa hii mada maana imezidi nifungua kumbe hata lile dona ninalokula sio salama!! sasa mnapokuja na miswada kama hii mje na solution ikiwa ni kulaumu hakusaidii kitu wala wao kubadilisha msimamo wao.. kutoka hapa tufanye nn kujiepusha na huu mtego..
  12. L

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

    wapi nitapata kwa ajili ya kuotesha?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    Tukana tu......Nitakuombea maana huna tofauti na hao walioandamana
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    Kwa hiyo ulitaka waachiwe hadi waingie Ikulu wakati mwenyeji wao hayupo nani angewapokea.. sasa nikimuona kila muislamu siwatofautishi na hao walioandamana MNAHITAJI ELIMU HATA KWA LAZIMA.
Back
Top Bottom