Recent content by Lipyusiki

  1. Lipyusiki

    Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

    Mwakyembe kapungukiwa na akili ile sumu Naona imefyonza akili yake My inc
  2. Lipyusiki

    Hivi kwanini wanawake walioolewa ni wepesi sana ukiwatongoza?

    Hahahahaha alizaliwa kwa kutotolewa
  3. Lipyusiki

    Kada wa CCM atoa mazito: Shilawadu watanzania wamebadilika, CHADEMA mlituzidi ujanja

    Ukishaa pata ziro kila ufanyacho lazima kiwe zero
  4. Lipyusiki

    Kutoka Kanisa la Gwajima (Mzee wa Madongo) Mapambano yanaendelezwa

    Niko na kigoda kabisa,,, nasubiri ubuyu.
  5. Lipyusiki

    Nimempa shemeji yangu ujauzito

    muoe huyo huyo
  6. Lipyusiki

    Kwanini watu wembamba huwa na akili kubwa kuliko wale wanene?

    ujatupa vigezo ulivyotumia na pia ulifanya kwa kuzingatia nini it was much better kama ungesema uliangalia nn,, ukapima kwa kutumia nn,,,pia sample yako ilikuaje
  7. Lipyusiki

    Ushauri kwa Mange Kimambi

    hahahahahahaha spare my libs pls
  8. Lipyusiki

    Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    mfitini huyo lengo ni kuchonganisha,anayake mbwage.
  9. Lipyusiki

    President aonesha udhaifu wa Waziri mkuu hadharani, hii imekaaje jamani?

    Rais mwenyewe hajui majukum yake
  10. Lipyusiki

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    yaan huyu wa tano katuua kabisa
  11. Lipyusiki

    Swali: Ukipewa kazi ya kubuni chombo au kifaa chochote bila kuiga popote utabuni nini?

    hahahahahaha hicho kweli utauza say shida kipo kwenye maneno
  12. Lipyusiki

    Lissu afunguka kasoro alizofanya RC Makonda

    kuandika kwenyee hujui,utawezaje kujenga hoja?? elim yako darasa la ngapi??
  13. Lipyusiki

    MWANZA: Jeshi la Polisi lamkamata mfanyabiashara akiwa na madawa ya kulevya

    Huo ndio weredi katika taaluma yako, sio unapewa taarifa badala ya kuifanyia uchunguzi wewe unaanza kulopoka. Shame on you makonda
Back
Top Bottom