Serikali kupitia wizara ya ajira yawadanganya watanzania 1000 kuhusu mafunzo ya Chuo cha DIT

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
615
Serikali ilitangaza mafunzo ya bure kupitia Chuo cha DIT ,Mwanza yalikuwa yanategemea kuanza mwezi 20/02/2017 hajaanza kutoka na serikali kukoswa pesa ya kuendesha mradi huu .

My take : kwanini serikali inatuona sisi watanzania hatua uwezo wa kufikri maana kila kitu inachoahidi ni uongo haitekelezi kwanini kama hamuwezi tekeleza mnaahidi mwananchi ? Kwanini msikae kimya ? Tu
4b3017cc4d19c5109bf147f64a6b0cbf.jpg
 
Back
Top Bottom