Si dhani kama Kuna tatizo?Hakuna mtu kati yao alietoa pesa zake mfukoni kununua hiyo ndege hata wangeandika “The Tommorow People” bado Kusingekua na tatizo. Ndege ni mali ya Watanzania sio ya mtu binafsi
Lengo la Kuoa Lilikua nini?Tukijua lengo uenda tukasema kweli huyo hakufai au wewe ndio hufai maana uenda umebadirika toka kwenye lengo lenu la Kuoana. Mimi naamini ulioa ili mtengeneze familia jambo ambalo umesema anaweza,sina uhakika kama ulioa ili mshirikiane Kufanya Ugunduzi wa Kwenda Kuishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.