Recent content by lionhard

  1. lionhard

    JamiiForums Tanzania Msaada file halifunguki ..

    Yaani namaanisha kuna sites Una_upload hlo file then wanali_convert to MS file unali_download then una _open kwa Microsoft office.
  2. lionhard

    JamiiForums Tanzania Msaada file halifunguki ..

    MS Office haiwez kufungua Open office file, So, download Apache open file then uitumie kufungua hilo file, au Kama hlo file sio confidential unaweza Ku_convert in to MS file online.
  3. lionhard

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika Tegeta, wazo, Goba n.k. bajeti 6-15m

    Mbuyu upi?
  4. lionhard

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mafunzo ya kung fu, karate, judo

    Huyo wa ubungo mbona hajibu? Or it's not real?
  5. lionhard

    JamiiForums Tanzania Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Can you tell us how?
  6. lionhard

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtekaji wa watoto afariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka

    18 yrs haez kuwa peke ake, kisasi moja ya mguu zingemtosha sio kumuua. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. lionhard

    JamiiForums Tanzania msaada wa bei ya external hard disc

    Nice comment
  8. lionhard

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mafunzo ya kung fu, karate, judo

    Kwa Dar sehemu gani kuna dojo la kueleweka? Natafuta members wa kufanya nao mazoezi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. lionhard

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    N Sent using Jamii Forums mobile app
  10. lionhard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wasiopenda kuandaliwa kabla ya kufanya mapenzi wana tatizo gani?

    Hujakutana na mtu mwenye ushawishi ungependa tu, kuna vitu huvipendi sababu hujafanyiwa kuna steps za kufanya romance, sio unakurupuka tu unazama chumvini, wanaboreka. Sex bila romance inapunguza upendo.
  11. lionhard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wasiopenda kuandaliwa kabla ya kufanya mapenzi wana tatizo gani?

    Labda una tatizo, kinywa kichafu, au the way you kiss kama ndama, Wakati mwingine sio kila ulichojifunza unaweza kumfanyia, vingine hawavipendi so Ni wewe kuwa mbunifu maana unaeza ukute kuna vingine hata yeye hajui kama anavipenda mpaka umfanyie. Pia wengi huwa Ni wagumu kusema wapi wako...
  12. lionhard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia mbadala ya kuepuka kufanya PUNYETO (ngono binafsi)

    Ukiwa na hamu ya kufanya ngono halafu ukaizuia unapata matatizo ya kisaikolojia. Ni vyema ukamtafuta mwenza mkazimaliza hizo Hamu, it's a real cure.
  13. lionhard

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vijana wapanga mageuzi 2020

    Hahah acha kutisha watu kizembe.
  14. lionhard

    JamiiForums Tanzania Tujifunze jinsi ya kuandaa Unga wa lishe hadi jinsi ya kuupika uji huu

    gfsonwin, Hapa Hakuna haja ya kuweka Mchele? Na hii lishe inaweza kutumiwa na mtu mzima? Au kwa Ajili ya watoto?
  15. lionhard

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais yakanusha mama Samia Suluhu kujiuzulu umakamu wa Rais

    Lisemwalo lipo, [emoji276]
Back
Top Bottom