Recent content by Lionel s

  1. Lionel s

    Huyu mke wa mkubwa wa Mkubwa Fella ,hivi ni shombe shombe au mzungu???

    Ana last born wao tatu..nayy hivohvo..vku hiz haonekani..cjui kapo ea
  2. Lionel s

    Huyu mke wa mkubwa wa Mkubwa Fella ,hivi ni shombe shombe au mzungu???

    Hapana boss.ni mweusi tii..anaitwa zainabu..kipind fulan nilikuaga na mdogo ake fulani wa last born wao fulan hv...anaitwa ..tatu cjui yupo wapi cku hizi.
  3. Lionel s

    Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

    Ali flop....man u.....hata SAF alikiri..alimnunua 32''enzi zile Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Lionel s

    UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Bernard Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHIF

    Huyu hakuwah kukaimishwa na magu...yupo toka enzi za JK..acha uongo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Lionel s

    OCCID Makambako asipoonywa ataleta madhara

    Alikua hajui..kua alichoongea na ulichoongea ww hakuna tofauti...haaaahaaa Post sent using JamiiForums mobile app
  6. Lionel s

    Mashine ya kufulia nguo inahitajika

    Namm nahitahi mashine moja complete kukausha mm ni kuzianika tuu Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
  7. Lionel s

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Inabidi uelekeze vuzuri ueleweke sio kutumia lugha chafu...wengine humu tunasoma kujifunza
  8. Lionel s

    Mpenzi wangu kanicheat mara mbili na wanaume wawili tofauti, Inaniuma sana

    Aliye kuambia amekucheat mara mbili nani?
  9. Lionel s

    Sian'ga TFDA na Pharmacy council wachunguzwe

    Hapa nimekuelewa....sheria ipo ila haifuatwi....ushauri wako ni kwamba...sheria ifuatwe kwa kazi kufanywa na wataalamu husika....kwamba dawa zisigawiwe kama njugu...
  10. Lionel s

    Sian'ga TFDA na Pharmacy council wachunguzwe

    Naipenda sana hii Caption: *_A person shall not carry the business of pharmacist unless that person is a pharmacist or is in association with a pharmacist_*
  11. Lionel s

    Sian'ga TFDA na Pharmacy council wachunguzwe

    Basi ndo tunapiga hela sasa..we spend five years in school...kazi kwako.....na hyo ndo kazi yetu..utaisoma namba na kusoma kwako sana afu huna hela...No person shall do bussiness of pharmacist other than pharmacist...kama unadhan ufamasia ni kugawa dawa kama alivo andika dr...rudi darasan tena
  12. Lionel s

    Sian'ga TFDA na Pharmacy council wachunguzwe

    Wivu na wafamasia..nenda kasome kama una dhani ni rahisi.
  13. Lionel s

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Ugonjwa wa bawasili unasababiswa sana na life style...ukifanyiwa operation/au kutibiwa na njia nyingine yeyote..... kama utaendelea na style hyohyo..tatizo litakua linarudia tena na tena...unacho paswa kufanya ni kuepuka kupata choo kigumu wakat wote....angalia aina ya vyakula unavyo...
Back
Top Bottom