Kila mtu anayeshabikia upumbavu ni mpumbavu!. Huwezi kulazimisha watu wachukue hatua kwa habari za majungu, especially Makambako ambako panafahamika ni kijiji cha mapumbavue, majambazi, majizi, maongo na mashirikina. Mtu wenye taarifa sahihi apeleke taarifa zenye ushahidi kwa viongozi wa mlalamikiwa ambao ni wengi tu. Hakuan mtu atachukua hatua kwa taarifa za midomo za watu wa Makambamo ambao wanatisha kwa uharibifu. No matter wanaunda syndicate you watu wangapi.
Haijalishi wangapi wanaandika hapa, lakini ukweli ndio huo. Makambako hakuan mtu mwenye idara pale ambaye ahpafahamu. Upumbaeu wa pale umekithiri kiasi kwamba mwajiri yeyote hatachukua hatua kutokana na maneno kwakuwa watu wa pale wanatisha kwa syndicate, majungu na kila aila na ubaradhuri.
Huo ndio ukwelina utabakikuwa hivyo. Hata nani aseme nini huo ndio ukweli na utabaki kuwa hivyo. Hovyooooooooooo Mkambako.