Recent content by linkedIn

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nauza sabuni za magadi toka Kigoma

    Unapatikana wapi Mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Funzo: Mapenzi imara yatakayodumu muda mrefu

    Somo zuri ndugu, Mwenye masikio amesikia na mwenye macho ameona!!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kitaalamu: Misumari ya Bati

    Nashukuru sana jakadio kwa ushauri wako!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kitaalamu: Misumari ya Bati

    Habari za asubuhi wanajamvi! Samahani naomba Kuuliza kwa anayefahamu, Hivi kuna tatizo gani linaweza kutokea endapo utatumia misumari ya bati za kawaida yaani migongo midogo kuezekea bati za migongo mipana! Naomba kufahamu hilo! Nawasilisha!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Peanut butter for sale TZS. 6,000/= @Kg

    Habarini za asubuhi wanajamvi! Nauza karanga zilizosagwa a.k.a Peanut butter! Hizi zina faida nyingi sana kiafya! Karibuni kwa wanaohitaji. Nicheck kwa namba hii hapa chini; 0621 002 220
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu anakuuzia kiwanja halafu baadae anakitaka kiwanja chake?

    Kama amekitaka mwenyewe unaweza muuzia kwa bei ya sasa lakini! Pengine Mungu anakuepusha na jambo fulani! Nikupe ushuhuda kidogo! Mimi nilinunuaga kiwanja kwa jamaa yangu miaka kadhaa iliyopita,nikamtangulizia kama 85℅ ya gharama za kiwanja! Kiasi kilichobaki tukakubaliana kulipana baadae...
  7. L

    JamiiForums Tanzania SOLD: Mtungi wa gesi na jiko

    Naomba namba yako ya simu!
  8. L

    JamiiForums Tanzania Fundi bomba nipo Dar

    Bomba zipi ni nzuri kwa plumbing ya nyumba ya kawaida!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maharage yanauzwa tani moja!

    Habari wanajamvi! Ninauza maharage ya Kigoma ya njano tani moja! Mzigo upo DSM,@ kilo ni TZS.1,600/= Anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0621002220! Karibuni!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi ujenzi ujenzi!

    Habari za humu Wakuu! Naomba kujuzwa ni brand ipi ya bati au kampuni ipi ya bati inayozalisha bati nzuri kwa kuezekea ambazo hazipauki. Nauliza hivo kwa sababu kumekuwa na viwanda vingi sana siku hizi ambavyo bati zake zimekuwa zikipauka kwa muda mfupi sana! Naombeni mwenye kujua anifahamishe...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini kinamuharibu sura Mzee wa Upako ?

    Unamaanisha nini Mamndenyi!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Karanga zilizosagwa (Peanut butter) zinauzwa TZS.6,000/= @ kilo

    Niko DAR ES SALAAM
  13. L

    JamiiForums Tanzania Karanga zilizosagwa (Peanut butter) zinauzwa TZS.6,000/= @ kilo

    Hahahaa okay,asante!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Karanga zilizosagwa (peanut butter) zinauzwa

    Asante Mkuu! Karibu sana!
  15. L

    JamiiForums Tanzania Karanga zilizosagwa (peanut butter) zinauzwa

    Asante nitalifanyia kazi wazo lako!
Back
Top Bottom