Recent content by Lingamba

  1. L

    JamiiForums Tanzania EU yaipatia Tanzania bilioni 130 zitakazotumika kukamilisha miradi ya umeme vijijini

    Mwanzoni mlikuja na kelele nyiiiiingi et hamujitaji misaada, muda unasonga mnatanua miguu.Itafahamika tu.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku kusambaza baadhi ya kauli za Rais

    Hiki kichwa kinastahili kuingizwa kwenye maajabu ya dunia maana swaga zake mimi hoi ni kama sio mkulu vile hana muda wa kupima athali ya kauli zake yeye ni mwendo wa bampa to bampa kila linalo mjia.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Polepole: Cheche zangu hizi hapa

    Pole pole amezikana akili zake kwa faida ya tumbo lake.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mark Mwandosya: Wachumi tusaidieni kutofautisha kati ya economic benefits na financial benefits

    Tusipokuwa makini itafika wakati tutaona ni bora viongozi standard seven na form four B.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nimebaini: Ili kulinda heshima ya elimu yako usichangamane sana na wanasiasa

    Awamu hii ndio kipimo sahihi cha wasomi tulio nao hapa nchini hasa PHD HOLDERS
  6. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuungane, Tumuunge Mkono Rais Wetu

    Atakapo wakamata na kuwapelaka kwa Pilato wale wote waliotufikisha hapa bila kujali huyu mfupi ana ubala au anafanana na lodi lofa hapo bila hiyana nitamuunga mkono mchana kweupe. Asipo fanya hivyo tutampinga tu kwani dhamila yake itakuwa ina chagua na kubagua.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi MORUWASA unatesa wananchi Morogoro

    Hahahaaa hizo ndio changamoto za kuikumbatia kijani na njano,wenyewe wanaipeeeeeeenda CCM yao
  8. L

    JamiiForums Tanzania TBC1 huwa inakufurahisha kwenye kipindi kipi? Labda mimi tu ndo huwa siielewi

    TBC akili zao zina watosha wenyewe.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro wanakula rushwa kwa wamiliki wa bar

    Hiyo nyumbani park a.k.a samaki sports pale Bima ipo opposite na nyumba ya RPC wa morogoro ila mwendo mdundo tunakula bia na mikelele ya mziki hadi jogoo anaruka bonanza.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa kuuza chips

    Elimu kuanzia darasa la saba hadi PHD kama vyuma vimekaza tunasaidiana.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa kuuza chips

    Hayo yanazungumzika mkuu kwa waliokuja PM tumezungumza.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa kuuza chips

    Anahitajika kijana wa kuuza chips. Vigezo 1.Muombaji awe na ujuzi wa kutengeneza chips pamoja na madiko diko yake mfano chachandu, ukwaju na mengineyo. 2.Muombaji awe tayari kuishi morogoro na viunga vyake. 3.Muombaji ajuwe kukalimu wateja na lugha ya kuvutia kwa wateja. Aliye tayari aje PM...
Back
Top Bottom