Bwana Banzi
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 464
- 251
aiseh..kweli kabisa, tatizo la maji morogoro linasababishwa na uongozi, kwa sababu kama maji yangekuwa hayatoshi, yasingeuzwa katika ma bouser( maboza, magari ya maji), ila inaonekana ni mradi wa watu kupiga pesa, halafu morogoro sio mkoa wa kukosa maji kabisa kwa sababu kuna vyanzo vingi vya maji. Watu wa kuanzia kihonda kwa chambo, mkundi na kata zake zote kunashida kubwa sana ya maji, na nyie ndugu zangu wa huko moro, mfanye maamuzi ya kuchagua viongozi sahihi na sio kuchagua chama kisichowaletea maendeleo....! nadhani mmenielewa wa ukae, mbadilike tupate maendeleo huko kwetu morogoro