TBC1 huwa inakufurahisha kwenye kipindi kipi? Labda mimi tu ndo huwa siielewi

Vipindi vimezubaaaaa yaan huelewi chochote.kuna wamama wanatangaza hawanivutii kabisa.sikumbuki lini niliangalia
 
Tbc 1 bado ipo mimi nilifuta kwenye king'amuzi changu haipo nishawishi niangalie kama tu TIDDO MHANDO amerudi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom