Anahitajika kijana wa kuuza chips

Lingamba

Member
Oct 18, 2017
12
22
Anahitajika kijana wa kuuza chips.
Vigezo
1.Muombaji awe na ujuzi wa kutengeneza chips pamoja na madiko diko yake mfano chachandu, ukwaju na mengineyo.
2.Muombaji awe tayari kuishi morogoro na viunga vyake.
3.Muombaji ajuwe kukalimu wateja na lugha ya kuvutia kwa wateja.

Aliye tayari aje PM aache mawasiliano yake .
 
Mbona hujasema awe single au aje na familia yake? Pia hujasema Renumeration /Salary scale yako.
 
Back
Top Bottom