Recent content by Lincolntz

  1. Lincolntz

    JamiiForums Tanzania Mzalendo Nasogea Golgota, Je huyu ndo mrithi wa ROMA? Je hatafungiwa!

    Jamaa anajua
  2. Lincolntz

    JamiiForums Tanzania Zitto: Taarifa ya CAG inaonesha CCM ilikopa pesa za wastaafu kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii

    Ndio maana tunadai Nssf kila siku vikwazo mara miaka 55 mimi sekta binafsi nataka hela zangu
  3. Lincolntz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Sawa
  4. Lincolntz

    JamiiForums Tanzania Mashekhe wa Uamsho: Siku zaidi ya 1,460 wapo rumande

    Mbona toka walivyokamatwa Zanzibar kumetulia
  5. Lincolntz

    JamiiForums Tanzania DC Kigamboni awaweka chini ya ulinzi wakurugenzi wa LAKE OIL kwa kukiuka masharti ya uwekezaji

    Ally wa Lake oil anamiliki boat yake mwenyeee na hiyo gati ipo nyumbani kwake mbona hawajaongelea Kiwanja cha herkopta ambacho kipo humo
  6. Lincolntz

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo amewapiga "KO" maofisa Uhamiaji

    Uyo aliemwambia alete vyeti ukimfatilia vizuri utakuta yeye ndio sio laiya
  7. Lincolntz

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatutumii nguzo za zege kwa ajili ya umeme kama Kenya?

    Hata rwanda wanatumia nguzo za zege na aluminium tatizo kwetu ten pasent nyingi
  8. Lincolntz

    JamiiForums Tanzania Elvis Aaron Plesley (1935-1977) "VS" Michael Jackson (1958-2009)

    Nitaifanyia kazi
  9. Lincolntz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michirizi ya Damu

    Shuni huwa nakukubali Sana
  10. Lincolntz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dewji alikataa kuongea Ikulu hata Rais Magufuli alipompa nafasi?

    Yeye mwenyewe sio msafi akajua jpm atamlipua
  11. Lincolntz

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata huduma ya Sauna katika Jiji la Dar?

    Kama kinavyo jioneshe kichwa cha habari waungwana mimi ni mkaazi wa Dar lakini ni mtu wa kutoka sana bara hili la Africa kumenifanya nisizijue sehemu nyingi za jiji hili naomba kwa anaejua sehemu yenye sauna
  12. Lincolntz

    JamiiForums Tanzania Hivi Sigara kama hizi nazipata wapi hapa Bongo

    Zipo kibao tu super maket zinakaa tano 5000
  13. Lincolntz

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu, Mo Dewji utajiri wako unatokana na unyonyaji wa wafanyakazi wako

    Mkuu hakuna bonasi hapo mm nina jamaa zangu wanafanya kazi hapo
  14. Lincolntz

    JamiiForums Tanzania MeTL GROUP, BAKHRESA GROUP Kampuni kubwa Tanzania zisizojali Wafanyakazi wake

    Yaani umeongea ukweli mtupu nanda kwenye transport kwa mo dereva analipwa laki na nusu wizi mtupu
Back
Top Bottom