Recent content by LIMANYE

  1. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Wadau Wenzangu mko poa? Uchaguzi mdogo Chalinze nani kashinda?
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli?

    Nimekuwa nikiona au kusoma post za wana JF mara natafuta mchumba mara natafuta sugar mamii mara natafuta msichana wa kuoa anaejitambua hivi uwa mnapata kabisa na mnafikia malengo ya kuoana nitoeni usingizini mwenzenu bado siamini mapenzi ya kwenye mitandao tena urafiki unaisha mapema...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tanga fresh mko serious kweli?

    hii post ni ya muda ila imenivutia kwasababu mm kila siku usiku lazima ninywe Tanga fresh pakti moja na nimefanya hivyo zaidi ya mwaka sasa sijawahi kukutana na ladha tofauti ladha ni ileile tena yenye ubora wa hali ya juu.
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

    Wapendwa mimi nimeamini katika mapenzi hakuna limbwata bali ni jinsi gani nyie wenyewe wahusika mnadumisha penzi lenu kwa mfano Shemeji yenu ukimkuta nyumbani anavyonifulia na kunioshea vyombo au ananipikia mm niko tu pembeni nampa maneno matamu unaweza kusema nimempa limbwata kumbe wala hata...
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raha

    Habari zenu wa JF wenzangu! dah kumbe ukipata anaekupenda kwa dhati na si unaempenda kwa dhati raha sana eeeh mwenzenu nilikuwa sijawahi kulijua hili.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Je kuna madhara yoyote?

    Je kuna madhara yoyote kwa mtoto wa kike kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi??
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado nampenda

    naogopa hilo tuuu kwanza Mungu ananipenda sana nadhani nilipaswa nw niwe marehemu
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado nampenda

    hahahahahah ni kweli usemayo lkn nimekimbia sababu maisha yangu yako hatarini
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado nampenda

    kikubwa katika hili ni uvumilivu wangu ndio chanzo kwani ningeliogopa hili tangu mwanzo haya yote yasingenikuta niliamini ipo siku mwenzangu atabadilika tu lakini imekuwa tofauti kwani siku zinasonga na hakuna mabadiliko sidhani kama ningekuwa nachukia kupigwa na najua napigwa kwa sababu...
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado nampenda

    nashukuru sna tena sna ur rit ingawa kdg kuna tofauti sijui kumjibu mume wangu na uwa inafikia anasema nisipomjibu ni dharau na ikitokea nimemjibu pia anayachukulia vingine na kichapo kinaanzia hapo nasikitika nimejitahidi sna kuvumilia kipigo nikiomba na kuamini kitaisha siku moja lkn...
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado nampenda

    ahsante yea npo hilo halina kificho nampenda sna mume wangu!
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado nampenda

    thanx!
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado nampenda

    sina uzoefu na zote ila katika hivyo kuna kimoja wapo.
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado nampenda

    kwa maadili ya kiafrica sipaswi kumludishia mume wangu ngumi hata kama nami najua kupigana lakini pia ubavu wa mume wangu ni heavy siwezi hata kuhimiri kupigana nae nadhani siku hiyo ataniua kbs.
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado nampenda

    ahsante kwa ushauri mzuri kiukweli ndo nimeanza step one kwa kuondoka nazidi kumwomba Mungu anifungulie napaswa kufanya nn baada ya hapo kwani kiukweli siko tayari kuendelea kubeba msalaba wa kipigo tena miaka 9 imetosha ya kupigwa.
Back
Top Bottom