Don Mangi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,199
- 855
ahsante kwa ushauri
it seemz mumeo ana psychological problem...ngoja niku pm. . .
ahsante kwa ushauri
kwa maadili ya kiafrica sipaswi kumludishia mume wangu ngumi hata kama nami najua kupigana lakini pia ubavu wa mume wangu ni heavy siwezi hata kuhimiri kupigana nae nadhani siku hiyo ataniua kbs.
mie nakueleza dada jifunze kupigana itakusaidia. Siku ambayo huyo mwanaume akilianzisha anakutana na muziki asioweza kuucheza.
Kesho yake akiamka na ngeu ile aibu kwa marafiki itampa adabu.
Halafu ukishajua kupigana siku hata naye akikukorofisha wewe ndio unakua wa kwanza kusupply kichapo....lazima adabu itamkaa tu