Recent content by Limalikilo

  1. L

    Benki zaanza kukusanya VAT ya tangu 1st, July toka kwa wateja wao

    Hiyo vat ni kweli imeanza kukatwa mm mwenyewe wamenikata elfu 8 charge ya mwenz wa saba
  2. L

    CHADEMA wanaiga style ya CUF ya miaka ya tisini!

    Tatizo la chadema ni lipi kwani wao Kama chama cha siasa kutetea uhuru wao wa kufanya kazi Yao ya siasa ni kosa? Na hata huo mfano wako wa cuf na mahita je Nani alishinda? Mahita kastaafu lakini siasa inazidi kukua walitumia propaganda ya udini na vurugu lakini cuf ikazidi kukua na sasa ccm...
  3. L

    Kuhusu kutenguliwa kwa Mkurugenzi wa Bagamoyo na uhusiano wa kushindwa

    Nilikuwa namheshimu akitoa ushauri kwenye mahusiano sasa simheshimu tena kwani nimeona hoja zake ni Kama anataka kumtetea mkuu ili amfikirie kwenye serikali huna point ya msingi
  4. L

    Msajili wa Vyama vya Siasa akemea Tamko la CHADEMA

    Ufike wakati siasa iachwe kwa vyama vya siasa uwanja uwe fair cyo vyombo vya dola kujaribu kuzuia na kuvunja katiba
  5. L

    Nikinyoa nywele za siri kama nipo safarini inakua ugomvi kwa mke wangu

    Nadhani hayo ni mahaba tu kaka Kama ingekuwa ushirikina sidhan Kama angehitaji hizo nywele kila siku na pia mshirikina anafanya mambo kwa Siri sana usingejua kamwe
  6. L

    Magufuli Kwenye Kikao cha kumshauri agombee urais: Nikichaguliwa, watu watalimia meno

    Huwez kusema gazeti la mwanahalisi limekosa soko wakati hujui mwanzo walikuwa wanachapisha nakala ngapi na sasa wanatoa nakala ngap ila ninachokiona ni mtu kuongozwa na mihemko ya kisiasa badala ya tafakuri ya kina kwani hata wanaharakati sehemu kubwa wapo against na serikali dunian kote na...
  7. L

    Kikwete, Magufuli na mtu huyu wa tatu...

    Mfano mdogo hata Nyerere alizidiwa nguvu na huyo mtu wa tatu alipotaka demokrasia ya vyama vingi wakati wabunge wengi walipinga
  8. L

    Wanaovaa nguo za nje kuzomewa

    Tatizo siasa zetu cheap sana ishu ni kwamba hvyo viwanda vitengeneze nguo bora na za kisasa watu watanunua ila huwez kutaka sympathy ktk dunia ya ushindani
  9. L

    Wabunge wampa makavu Waziri Kitwanga, Masha aonyesha umbumbumbu

    Nadhan unajua maana ya maoni unaweza kuyachukua au kuyaacha povu lisikutoke
  10. L

    Agness Marwa- From zero to Hero

    Hakustahili kuwa mbunge ila hzo hela alizomake kwenye biashara na ukaribu wake kwa viongozi ndyo umemsaidia hv iwekwe hoja asimame sakaya atetee matiko akamue bulaya halafu mdee amalize kisha aje huyo marwa unaweza kutamani kuingia kwenye TV umtoe nje
  11. L

    Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

    Kwa Tanzania ni kosa kubwa sana kukosoa kitu ila wanapenda kusifiwa tu ila mtu mzuri ni yule anayekukosoa kwan anakujenga ila sifa zisizo na mantiki ni kuipumbaza akili nadhan mtoa mada katoa majina ya wanamuziki waliokuwa chini ya lebo ya Sony na wakaanguka sasa ww toa listi ya waliopata...
  12. L

    Wabunge wampa makavu Waziri Kitwanga, Masha aonyesha umbumbumbu

    Tatizo lenu mmeuona ulevi mmoja tu kwa kitwanga ila huo ulevi wenu wa madaraka hamuuoni namna unavyoligharimu taifa letu kwan mbunge wa upinzan akiongea point nyie walevi wa madaraka mnashindana kumshambulia personal badala ya kujenga hoja
  13. L

    Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

    Tunaangamia kwa kukosa maarifa tatizo ameshindwa kutumia hekima na busara na muda mwingi anapambana na kivuli chake na pia gharama ya kukulinda chama cha mapinduzi ni kubwa sana Kama anataka kufanikiwa lazma aanze kutengeneza msingi nchi ambayo ni katiba bora hayo majipu yanapasuka yenyewe...
  14. L

    Nape: Wananchi wanashindwa kuwaamini wapinzani kwa sababu ya ukigeugeu wenu

    Hivi mlitegemea nape aje kuusifia upinzani? toka lini kuna vitu vya ajabu sana nchi hii wabunge wa ccm wapo bize kuwaponda upinzani badala ya kutoa hoja zenye tija kwa taifa bunge limekuwa ni sehemu ya kuonyesha namna gani unaweza kuwatukana au kuwaponda upinzani ndyo maana sheria mbovu...
Back
Top Bottom