Nikinyoa nywele za siri kama nipo safarini inakua ugomvi kwa mke wangu

mzibua chemba

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
478
500
Kuna kitu nimekaa hadi nawaza ni ushirikina au laa mimi nikinyoa nywele za sehemu za siri tu kama nipo safarini nikirudi inakua ugomvi wife, nikioga anataka anifulie boxa yeye nikifua anamind sana.

Sasa huwa ananitisha tukimaliza kudo huchukua leso yake na kunifuta sasa huwa nawaza usikute hivi anapeleka kwenye ushirikina maana nimekuwa na waswasi sana huu wasiwasi wana JF, kutaka yeye aninyoe anapeleka wapi hizo nywele za siri na kwanini alilie kufua boxa? Na kwanini anifute manii na leso yake?
 

Patience123

JF-Expert Member
Mar 10, 2013
5,040
2,000
Kuna kitu nimekaa adi nawaza ni ushirikina au laa mm nikinyoa maa........zi tuu kama nipo safarini nikirudi inakua ugomvi wife nikioga anataka anifulie boxa yeye nikifua anamind sana sasa huwa aninitisha tukimaliza kudo huchukua leso yake na kunifuta sasa huwa nawaza usikute hivi anapeleka kwenye ushirikina maana nimekua na waswas sana huu waswas wana jf. kutaka yy aninyoe anapeleka wap ayo mavuuu... na kwa nn alilie kufua boxa? na kwa nn anifute manii na leso yake?
Maybe ndivyo alivyofundwa unyagoni, jengeaneni fikra njema, mtadumu.
 

Patience123

JF-Expert Member
Mar 10, 2013
5,040
2,000
Believe me or not..huo ni ushirikina hata mimi nilitaka kufanyiwa hivyo bahati nzuri niliwahi kupewa taarifa
Ushirikina wa hali ya Juu
Akatokea sumbawanga?
Pole sana mkuu hiyo ni ushirikina aisee
Ni kwa nini mnapenda kujenga fikra zenu juu ya ushirikina? Mojawapo ya mafunzo wanayopewa mabinti wanaoolewa ni juu ya usafi wa mume wa ndani na nje, ikiwa ni pamoja na kuandaa zana za usafi wakati wa kazi, sasa kwa nini mkimbilie kusema yeye kung'ang'ania hayo ni ushirikina? Mna evidence?

Kulelewa kishirikinarishikina nako ni tabu sana.
 

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,405
2,000
Jaribu kumwuliza shida yake hapo ni nini!!kukunyoa au anataka hizo nywele!! Au siku ukinyoa ukiwa safarini mmbebee tuu umalize mzizi wa fitna!!
 

myself scenario

JF-Expert Member
Jul 5, 2015
347
250
Ni kwa nini mnapenda kujenga fikra zenu juu ya ushirikina? Mojawapo ya mafunzo wanayopewa mabinti wanaoolewa ni juu ya usafi wa mume wa ndani na nje, ikiwa ni pamoja na kuandaa zana za usafi wakati wa kazi, sasa kwa nini mkimbilie kusema yeye kung'ang'ania hayo ni ushirikina? Mna evidence?

Kulelewa kishirikinarishikina nako ni tabu sana.
Mkuu inaonekana kuna mengi huyajui..kitambaa unacho jifutia gegedeo huwa wanafanya juu chini waondoke nacho..we unahisi ana kipeleka wapi? Ushirikina upo na kama hauamini basi sio lazima jamaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom