Recent content by Lily wisle

  1. L

    Bora nani kati ya hawa?

    Wotewabaya hakuna aliyebora kwamtazamo wangu
  2. L

    Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..

    Kufall in love niwendawazimu huo jiulize ww ndowakwanza kwahuyo dem au man? Nakamaww niwakwanza basi jiulizetena ww ndoutakuwa wamwisho kwake? Sikakazi watu kupenda nahata nikiwakataza nenolangu sisheria lkn epuka sana wendawazimu wakufall in love utalisana angaliambele ww!
  3. L

    Hivi ni vita kali sana inatakiwa ujipange

    Vilevile akilizakuambiwa changanya nazakwako ukiombaushauri ukaona unapotoshwa au unapotezwa basi achana naushauri HASI tafuta ushauri CHANYA kikubwa jifunze kuishinda nasfiyako ukiona inakusababisha kushindwa Vita ya mafanikio wekabidii kwakile unachokiamini kwamba kitakufikisha kwenye safari...
  4. L

    Hivi ni vita kali sana inatakiwa ujipange

    Yaani umehit mulemule maana kuishinda nafsi nakufikia mafanikio nivita ngumusana hapa kikubwa nikuwa na maamuzi sahihi lkn pia kupunguza kuombaomba ushauri kwawatu maana wanachangia sana kuwavunja watumioyo nahasa ukiomba ushauri wakitu ambacho mtuhanataaruma nacho utaishia kukatishwa tamaa tu...
  5. L

    Kwanini wenye elimu ya ‘’hapa na pale’’ wakubalika sana CHADEMA

    Kwamtazamo wangu mimi kilamtu anaelimu yahapa napale kwamaana unakoanzia na kumalizia primary siounako somea secondary yaani o' level na unakosomea A'level nitofaouti as well as chukikuu nako nitofauti kwahiyo wengi wetu japo sio wafuasiwachadema tunaelimuza hapanapale au ww ulikuwa namaanagani?
  6. L

    Nasema siwezi kuacha kuchepuka

    Kamandiyo tabia yako we komaanayotu usisikilize lamtu ktkt michepuko yako lkn wakati ukiukwaa ndousikilize lamtu
  7. L

    Operesheni wahamiaji haramu kazi imeanza, vilio vyatanda, wachina wagoma

    Wahindi hao watasakiziwa mpaka waondolewe waishe maana wakimuajiri Mbongo wanamfanya kama roboti hata kitu kilicho chini yamiguu yasofa alilokalia utasikia anamuita Mbongo akakiokote ampatie yaani nizaidi ya mamwinyi so! Naowawafagie waishe waache kuwageuza wabongo maroboti kwasababu ya umaskini wao
  8. L

    Operesheni wahamiaji haramu kazi imeanza, vilio vyatanda, wachina wagoma

    Tatizo wachina hawajatumia akili zakujiongeza hapa wangekwenda vijijini ambako ajira hazisumbui walawatu wake hawanashida sana yakuajiliwa wao wanawaza familia zao zilezishibe nakulala sasa wao wamekimbilia mijini ambako kilammoja anatafuta hiyo ajira lazima wakione chamtemakuni
  9. L

    Yaya Toure analalamika nini? Sio kila siku yeye, Aubameyang naye anastahili tuzo, eboh!

    Kwamtazamo wangu huyo toure angekuwa rais angekuwa kama Mugabe
Back
Top Bottom