Yaya Toure analalamika nini? Sio kila siku yeye, Aubameyang naye anastahili tuzo, eboh!

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
32,323
29,584
Habari za jioni!
Nimeingia mtandao wa BBC Sports nikashangaa jinsi nguli wa soka Afrika Yaya Toure akiongea upuuzi. Naona kama hajakubaliana na Aubemeyang kushinda tuzo! Yeye ni role model, akubali kuwa kuna kushindwa mida fulani! Sio kuongea pumba!
NIME-COPY NA KUPASTE TOKA BBC maelezo yake haya chini,

Manchester City midfielder Yaya Toure has reacted angrily after failing to win the Confederation of African Football's player of the year award.

Toure captained Ivory Coast to 2015 Africa Cup of Nations victory but came second to Gabon and Borussia Dortmund striker Pierre-Emerick Aubameyang.

"I think that's what makes the shame of Africa," he told Radio France International.

"To behave in this way is indecent! But what can we do?"

'Yaya will look after himself'
Toure had won the CAF award for the previous four years and was recently crowned BBC African footballer of the year for 2015.

Aubameyang, 26, became the first player from Gabon to win the award.

He has scored 18 goals in 17 Bundesliga games this season and a total of 68 goals in 119 games since joining the German club from French side St Etienne in 2013.

However, Gabon were eliminated at the group stage of last year's Africa Cup of Nations.

"We Africans, we do not show that Africa is important to us," added 32-year-old Toure.

"We give more priority to what's going on elsewhere than in our own continent. This is what is appalling.

"I give an example: it's Lionel Messi who wins all the trophies but it's Ronaldo who is Ballon d'Or. What would you say? It would be unfair."

"Yaya will look after himself, and let Africa look after itself. Like I'm often told, you shouldn't worry too much about Africa, because Africa will be the first to let you down."

Link hii hapa, BOFYA HAPA.
 
Last edited:
Manchester City midfielder Yaya Tourehas reacted angrily to losing out on the CAF African Footballer of the Year award, saying the decision is "pathetic", "indecent" and "brings shame to Africa".

Toure hit out at his critics in a controversial interview in October, accusing detractors of "spreading bulls***", and has had a number of run-ins with the press in the United Kingdom and his home continent.

The 32-year-old captained the Ivory Coast to their first Africa Cup of Nations triumph since 1992 at the start of last year and was named in the competition's team of the tournament.

But he lost out to Borussia Dortmund striker Pierre-Emerick Aubameyang in the individual stakes - voted for by coaches and technical directors - and has now hit out at the decision makers, insisting "even Fifa" would not have reached such a conclusion.

“I’m very, very disappointed," he toldAfrique Foot. "It’s sad to see Africa react this way, that they don't think African achievements are important.

“I think this is what brings shame to Africa, because to act in that way is indecent. But what can we do about it? Us Africans, we don’t show that Africa is important in our eyes. We favour more what’s abroad than our own continent. That is pathetic.

“Even Fifa, with all its history of corruption, wouldn’t do this.”

Toure is no stranger to courting controversy in the press and it appears more on the way after he vowed to "tell the truth" when questions come his way.

“Yaya will take care of Yaya and let Africa take care of itself," he added. "As I’ve been told many times, you can’t take care of Africa too much because Africa will be the first to let you down.

“When I return to Europe, a lot of questions will be asked. I think I’m going to have to answer them. As I’m someone who’s honest, I will always tell the truth.
 
Aubameyang kapata mafanikio gan mwaka uliopita

Yaya toure bado alikua anastahili

Angalia BVB ni timu ilokua akipambana kutoka kwenye relegation kwenye bunges huezi linganisha na yaya na city yake alishika nafasi ya pili na yaya akisimama kama muhimili anayosababu na mimi binafsi namuunga mkono yaya

Tuje afrika huyo aubameyang alishindwa kuipeleka tim yake hata nusu fainali.
Lakin yaya aliiongoza cote d' ivory kuchukua kombe la afrika
Its shame for afrique to react like that tuangalie labda statics za mmoja mmoja ndo mtu uanze kumkashifu.

Na hapa si swala la kuchoka na hizo tunzo hupewa mtu ambae kafanya vyema na si tunzo ya mapokezano kwamba kusema ikifika mara nne ndo mwisho
Mfano messi kachukua mara nne mpira wa dhahabu na kesho anaenda chukua mpira mwingine wa dhahab basi sasa fifa iamue eti kwakua messi umechukua mara nyingi hatukupi no
Hiz tunzo hupewa alofanya vyema
 
Nimemdharau, pia ktk hii interview kuna mahali anakubali kuwa Messi anashinda trophies ila ronaldo anashinda ballon d'or, hiyo sababu ni ulaya anaona iko sawa! Hovyo kabisa, kashinda mara nne ila anaona wenzake hawastahili?
 
Bwege sana jamaa...kwani hiyo tuzo ni kwa ajili yake tu miaka yote..? ye ni nani?

kwani Mess hizo tuzo anazoshinda...huwa anawin trophy huko america ama Europe?
boya sana..
 
Aubameyang kapata mafanikio gan mwaka uliopita

Yaya toure bado alikua anastahili

Angalia BVB ni timu ilokua akipambana kutoka kwenye relegation kwenye bunges huezi linganisha na yaya na city yake alishika nafasi ya pili na yaya akisimama kama muhimili anayosababu na mimi binafsi namuunga mkono yaya

Tuje afrika huyo aubameyang alishindwa kuipeleka tim yake hata nusu fainali.
Lakin yaya aliiongoza cote d' ivory kuchukua kombe la afrika
Its shame for afrique to react like that tuangalie labda statics za mmoja mmoja ndo mtu uanze kumkashifu.

Na hapa si swala la kuchoka na hizo tunzo hupewa mtu ambae kafanya vyema na si tunzo ya mapokezano kwamba kusema ikifika mara nne ndo mwisho
Mfano messi kachukua mara nne mpira wa dhahabu na kesho anaenda chukua mpira mwingine wa dhahab basi sasa fifa iamue eti kwakua messi umechukua mara nyingi hatukupi no
Hiz tunzo hupewa alofanya vyema
Hutolewa kwa mwenye kura nyingi, ndo maana hata Messi huwa halalamiki, anashinda vikombe huku Ronaldo anashinda ballon d'or!
 
mbona kipindi kile nigeria walichukua kombe la africa toure alikua nominated na obi mikel lakini toure akachukua mbona ckusikia malalamiko kama hayo kutoka kwa mikel au yeye mwenyewe. Huo ni wivu anataka miaka yote achukue yeye tu.
 
We si mtu wa michezo ona lugha yako
 
jamaa anamajivuno sana, ndo anajiita muislam safi wakati ni mnafiki tu
 
CR7 KACHUKUA MARA NGAP
Kwani Aubemeyang kachukua mara ngapi?
Msimu uliopita Messi aliisaidia Barca kuchukua baadhi ya vikombe, ila ni ronaldo ndo alishinda Ballon d'or! Kwa fifa na europe ni sawa ila kwa afrika sio sawa??
 
Ukweli mchungu Afrika hkn km Yaya tuache kudanganyana af uislam safi hapa unakujaje???
 
Hakuna km Aubemeyang pia. Huyu si ndie aliyeisha kiwango mpk akataka kuuzwa??? Dharau zake zitamponza,asijiamini sana kihivyo
 
Back
Top Bottom