Recent content by Lilian Kisanji

  1. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa wabunge wa upinzani bungeni kutaigharimu sana CCM

    hasira iliyopo kwa kila mtu isubiri oktoba matusi kashifa wametupiwa sana walimu jamani tusubiri kalamu ya nini maneno
  2. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa nina watoto wa 2, mume wangu anaongea maneno yanayoumiza

    we, huyu mzee atakusumbua sana na huo umri mliotofautiana acha fikra hewa amua
  3. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa nina watoto wa 2, mume wangu anaongea maneno yanayoumiza

    cwezi chukua hatua hewa
  4. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    hakuna anaye jua kuna usiri mkubwa wazushi tu
  5. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    kama amemdu mwanao hana adabu utaamua mwenyewe hana upendo kabisa na ww kaa u nyama gani huu wanaumee aaaah poo
  6. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    hakuna kitu kama hicho andika barua sehemu unayotaka kwenda mkurugenzi mtendaji ndiye atakaye kujibu njoo nafasi ipo au laa
  7. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa nina watoto wa 2, mume wangu anaongea maneno yanayoumiza

    yaani wanaume bwana cjui wakoje ? huyu nae mtu mzima lakini hovyooo. Dada unakazi? maana usipoangalia huyu baba atakupatia zawadi ya BP
  8. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania Serikali inawauza walimu bei poa, na Bunge linajadili wasichokijua kuhusu walimu

    inauma sana ila tambua mgomo uliopo kwa walimu ni mbaya sana na madhara yake ni nakubwa sana shangaa mtt anaanza form one hajui hata kuandika jina lake wakati kafaulu. mm nafikiri tungoje oktoba itaongea zaidi na si vinginevyo
  9. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania BVR Kilosa madudu tupu

    poleni
  10. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania Namuonea huruma kumuacha nitamuumiza tena

    potea mbali muuaji ww na ulaniwe kwani utamuumiza tena na maumivu yake ni mara mia muachemapema azoee
  11. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania Binti niliemtelekeza na bili bar, kumbe kawaeleza mabinti wote kazini, sasa ni vibuti tu

    unalo kweli uliharibu sana sumu imemwagwa
  12. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kujenga kwenye kiwanja cha mkeo?

    jenga uone kazi
  13. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania Nitamuachaje mmama huyu anae nizidi miaka tisa?

    majimama oneni mnavyodhalilika kutembea na wenye umri mdogo duuuu napita mie
  14. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    akipitishwa mtafanyaje? oktoba hiyoooo
  15. Lilian Kisanji

    JamiiForums Tanzania Lowassa hakamatiki, wabobezi waumiza vichwa kumhujumu

    mnaongea sana daaah
Back
Top Bottom