Recent content by lila

  1. L

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata mawasiliano ya simu ya mtu?

    Wajameni naezaje kupata Mawasiliano ya msg kwenye simu ya mtu kwa miezi kama 6 kupitia kampuni za simu Inawezekana?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata mawasiliano ya sms ya mtu

    Wadau hebu nijuze, unaweza kupata access ya mawasiliano ya simu ie msg za mtu kwa kipindi fulani kwenye makampuni ya simu?
  3. L

    JamiiForums Tanzania sunburns

    Nawezaje kuondoa weusi shingoni na usoni kutokana na kuunguzwa na jua(sunburns )
  4. L

    JamiiForums Tanzania Side b of you

    Aisee sipendi kudanganywa,na nabadilika sana hasa ninapogundua hilo,
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Jamani??

    Sizani kama ni lazima tuende mbali kote hivo jamani,mambo mengine yataishia kutuua,wanawake tujiamini na kama sio riziki basi sio wako huyo
  6. L

    JamiiForums Tanzania "CRAZY Things We Do For Love"...

    jamani mweeee,,vituko
  7. L

    JamiiForums Tanzania So much pain for denials...nimetendwa

    Pole wewe mda utakuponya
  8. L

    JamiiForums Tanzania Reflection yako

    Habari pple,,,,,,, Watu hua wanakua na tabia tofauti tofauti kutokana na malezi,mazingira aliyokulia may be??but all in all mambo tunayofanya na tabia zetu hua zinakuja kutokea kwa watoto wetu ama kizazi kinachofuatia,,mnakubaliana na mimi,??sio watoto wote watachukua tabia zako hapana lakini...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wanapojeuka kua maadui

    i dont think ni lazma makubwa yote hayo yatokee ndo chuki iwepo,hata kukwaruzana kwa mambo ya kawaida ambayo sio ya kufikia hko kuuwana,,,bt kumbuka ni watu mlihaidiana mengi na kupendana kwa dhati,hufikirii kama upendo wa dhati hupaswa kuyashinda yote hayo insteady of having chuki?????Upendo wa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wanapojeuka kua maadui

    Hili swala sijui kama limewakuta wengi,iweje wapenzi mliopendana na kushibana kwa kila jambo kwa mda mrefu wakati linapookea jambo la kuwatenganisha kuna kua na chuki kali kati ya watu hao,?nn hasa sbbu
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mchoraji wa picha

    picha yangu ya half, black n white
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mchoraji wa picha

    Natafuta mchoraji mzur wa picha plz,,picha ya half kubwa black n white hapa dsm.ushaur kwa yeyote mwenye kujua.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wengi huvutiwa Na wanaume wenye Vifua vikubwa...

    una uhakika?kifua cha hela ama
  14. L

    JamiiForums Tanzania Bei Ya Alizeti Singida

    Nope,bado naulizia,upo singida?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Bei Ya Alizeti Singida

    Hbr pple, Naulizia msimu wa kuvuna alizeti Singida ni kipindi gani na bei hua kiasi gani na kwa kipimo kipi tafadhali....Kwa mwana Jf anaeishi Singida plz anitafute kwa msaada zaid.
Back
Top Bottom