Recent content by likalangu fredy

  1. L

    Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    Leo mbya uyole amezomewa!cc hatuchagui bondia bali tunahtaj kiongoz mwenye akili za kibondia so tunahtaj ubondia wa akil na sio wa miguvu ya kmwl!
  2. L

    Kwa hili CCM wanamaslahi yao

    habarin wakuu! binafsi naamani pamoja na sababu zingine ndugu zetu walimu(taraji) hawajapata ajira mpaka sasa ili uandikishwaji wa daftari la kudumu la kupiga kura uishe au uwe umefanyika sehemu kubwa ndipo wapangiwe sehemu za kaz na hapo watashindwa kupiga kura kwan watakuwa wameandikishwa...
  3. L

    CCM kulizwa tena katika Kura za Maoni ya Katiba Inayopendekezwa

    wewe ndo juha,serikali za mitaa kuniwengne mmewawekea mapingamiz watu hawakupiga kura,alafu asilimia imetafutwa kwa idadi ya vitongoji na vijj na sio idad ya watu,pia katiba pendekezwa hata maccm haiipend sasa kama wewe unaakili je 75% ya watanzania itapatkana ilikupitisha katiba? kama...
  4. L

    CCM kulizwa tena katika Kura za Maoni ya Katiba Inayopendekezwa

    wewe ndo jua,serikali za mitaa kuniwengne mmewawekea mapingamiz watu hawakupiga kura,alafu asilimia imetafutwa kwa idadi ya vitongoji na vijj na sio idad ya watu,pia katiba pendekezwa hata maccm haiipend sasa kama wewe unaakili je 75% ya watanzania itapatkana ilikupitisha katiba? kama mkihesabia...
  5. L

    Kuku wa kienyeji wapo hapa

    hapana mkuu,sina ile species ile ya israel,but tunaweza tukawasiliana kwa namba zangu zile ili tufanye business hata kama umepata soko,unaweza uka middle man au sio,kuku kwetu huwaishi,coz kwa siku zaid ya kuku 20_30 wanazaliwa.welcome ndugu
  6. L

    Kuku wa kienyeji wapo hapa

    mkuu magnificient mbeya to dar ni karibu sana,kuna watu mpaka wakutoka arusha,na mwanza nawatumia mzigo
  7. L

    Kuku wa kienyeji wapo hapa

    popote pale mkuu kuku wanakufikia,tunafanya kuanzia miamoja kwa wale wa mbali kwaajili ya kutoingiliwa,but kama unawafuata no problem
  8. L

    Mpaka sasa hakuna Mgombea wa Urais ndani ya CHADEMA

    ukawa kila mtu yupo safi,mnadhani wanawaza madaraka kama mafisad papa wanaokimbilia ikulu kufanya biashara.
  9. L

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    ccm hawajui kujifunza na hawawezi kujifunza ndio maana wakina nape wanabishana na facts kitu ambacho sio logical kwa chama kama ccm,wanapenda kujiona wazima hata kama ni mahuthuti.
  10. L

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    kama kichwa chako kinafanyakazi vizuri utakubalia na mimi kwa sababu zifuatazo 1-ushindi uliopatikana na kuhesaba idadi ya vijiji na vitongoji ambavyo ccm imeshinda na sio idadi ya watu waliopiga kura 2-ukawa imeshinda sehemu zenye population kubwa ya watu. 3-idad ya watu ambao wangeichagua...
  11. L

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    mkuu mtimbira ya ulanga morogoro? funguka basi
  12. L

    Tuungane: Tuanzishe Magazine Yetu

    naunga mkono hoja nicheck 0764786277
  13. L

    Kuku wa kienyeji wapo hapa

    jamani natafuta watu wenye shida na kuku wa kienyeji kutoka nauza kwa bei nafuu sana kuku,jogoo mmoja ni shilingi 12000 na tetea shilingi 10000,nipo mbeya ni kuku kutoka malawi.napokea order kuanzia kuku 100 nakuendelea,karibu sana-namba zetu ni 0764786277.
  14. L

    Ujumbe wangu kwa wale wafugaji wa kuku wa kienyeji

    ok jaribu kuwasiliana na wataalamu lakin kuhusu wapi pa kuwapata kuku nitafute mm ninakuuzia kuku kutoka malawi ni kuku wenye umbo kubwa na wanataga vizuri ,tuwasiliane karibu tufanye biashara mim nipo mbeya,piga0764786277
Back
Top Bottom