Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
....tumepata kocha wa mieleka ikulu ni akili zaidi na Lowassa atosha...
 
Kama wewe ni mwajiri unaweza kumpatia ajira mtu mgonjwa kweli tena ambaye unamwona? Sio ushabiki tangulizeni maslahi mapana ya Taifa.
Jirani zetu hapo Kenya walimchagua mtu aliyekuwa anafanya kampeni huku akisukumwa kwenye machela ila matunda yake waliyaona.mgonjwa Kibaki aliweza kufanya kazi iliyowashinda watu fit kiafya toka ccm for 54 kwa miaka 10 tu.
 
Kama wewe ni mwajiri unaweza kumpatia ajira mtu mgonjwa kweli tena ambaye unamwona? Sio ushabiki tangulizeni maslahi mapana ya Taifa.
Kama unataka mtu wa kuinua vyuma au kubeba lumbesa au baunsa kiukweli hautampa kazi ila kama unataka atumie akili why not?kwani wewe kazini kwako ulipimwa afya kwanza?mbona unaumwa na kazi unafanya?
 
Dr Magufuli amezidi kuwatikisa wapinzani wake kutokana na Ubora wa Afya yake,mazoezi ya viungo yamewakatisha tamaa wapinzani wake ukilinganisha na wagombea wao ambao baadhi wameonekana kuwa na afya yenye mgogoro.

Tutampa kazi getini pale ikulu
 
Dr Magufuli amezidi kuwatikisa wapinzani wake kutokana na Ubora wa Afya yake,mazoezi ya viungo yamewakatisha tamaa wapinzani wake ukilinganisha na wagombea wao ambao baadhi wameonekana kuwa na afya yenye mgogoro.


Ungeweka picha ningetia neno
 
Nakmbuka ukienda Jkt unapimwa afya.. But urais labda this yr sysymu watawekaa ichoo kigezooo cozy wanaogopaaa sanaa..
 
Jonh Atafaa Kuwa mlinzi wa rais ajaye, lakini siyo yeye kupewa ikulu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom