Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Dalili ya mvua ni mawingu .
Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015 , CHADEMA mpaka sasa hakuna wingu lolote la kua na mgombea mwenye mvuto na na atakaueweza kugombea Kiti cha Uraisi.
Kasoro za chama hichi cha upinzani kukosa mgombea mpaka sasa , ni dalili tosha kua mda wa upinzani kuchukua nchi haujafika .
Pia , endapo uchaguzi huu hauta wenye Upinzani mkubwa na CCM kupita kirahisi ,basi matokeo yake ni kurusisha nyuma kabisa movement za upinzani . Na itagarimu hata miaka mingine kumi kwa upinzania kurudisha nguvu
CCM wameonekana kua na Wagombea wa kutosha wa kuingia kwnye kura za maoni
Wametajwa wengi.
Ni vyema nchi hii ikapata mabadiliko ,tena mabadiliko makubwa mno ,lakini kwa hali ilivyo Upinzani bado hawana wala hawako tayari kutupatia Mtu/Raisi Wa kuisimamia chi hii.
Kiuhalisia ,Kama ww ni mpinzani . Wa kweli ,na uko katika maswahi ya taifa na wala si maslahi yako binafsi. .. utakubaliana na mm kua ..
Mpaka saaa Hakuna mtu anayestahili kupeperusha bendera ya Uraisi ndani ya CHADEMA .