Recent content by likalalulisimula

  1. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    kwanza jipende wewe mwenyewe acha kumuongelea na kumfuatilia huyo mwanamke kama huna kazi tafuta kitu cha kukufanya uwe bize na mambo yako usimuongelee kabisa huyo mwanamke futa namba yake yaan fanya kama vile hayupo yaan
  2. L

    JamiiForums Tanzania UKIMWI upo ndugu zangu

    ni rafiki yako kweli au ni wewe mwenyewe
  3. L

    JamiiForums Tanzania Umeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?

    tanesco leo wameamua watuuwe na joto
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kina mama, japo kwa uchache waambieni watoto wenu wema wa baba zao

    mimi nimejifunza/nimeujua wema wa baba yangu kwa kuuona mwenyewe bila kuambiwa na mama,,,,ingawa baba alikuwa mtu wa kusafiri lakini akirudi nyumbani anatupa muda anakuwa karibu na sisi kiasi akiondoka ni huzuni,,,,hivyo kwa mtazamo wangu wema au uzuri wa baba sio lazima usemwe na mama...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na Apps za Mikopo

    :D:D
  6. L

    JamiiForums Tanzania Harmonize amemkosea Mungu sana kwa hili alilolifanya

    yaani kosa la hamonise ndo wamakonde wote wamefeli? acha ujumuishi
  7. L

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    😁
  8. L

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Bure kwa Wasafirisha Maiti zinazogoma kwenda Kuzikwa Kwao ili zisikudhuru kwa Ajali mbaya barabarani

    kama alishasema akiwa hai asipelekwe kuzikwa kwao kwanini alazimishwe baada ya kifo
  9. L

    JamiiForums Tanzania Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

    kabisa yaani si unaona walivyo na chuki za wazi kabisa dhidi ya uislam.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

    kwani wasipo wa wish ndo nini? au mnapungukiwa na nini au sikukuu haikuwa?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Azam Media na hadaa za heri ya Christmas na mwaka mpya

    acha upotoshaji wewe na muacha mambo ya udini
  12. L

    JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

    kabisa yaani ila hapa tujifunze kitu kwahawa ndugu zetu ikiwa kwao sawa ikiwa kwa wengine shida
  13. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke tumeshindwana. Aende zake tu mi siwezi kwa kweli

    sasa wewe kwenda gesti unataka kuandika jina hutaki aliyetoa wazo la kwenda gesti ndo aandike jina
Back
Top Bottom