Kuna wakati huwa nakaa na kufikiria hivi hawa wanasiasa wanamwamini Mungu,au wana Dini,na kama wanadini wanapoenda kwenye Nyumba za ibada kusali huwa wanajisikia vipi kwa waumini wenzeo ambao ni wanachama wa vyama tofauti,kweli Uongozi ni utumwa wa kumtumikia Fulani
Wakati wa utawala wa IDD Amini Dada wa Uganda mambo yalianza hivihivi uongo ukageuka kuwa ukweli,baadaye watu wakazoea, ikawa mateso kwao wananchi ni kitu cha Kawaida na viongozi wa Dini walikaa kimya,lakini baadaye yaliwatokea puani wote,hakuna cha kiongozi wa chama kilichokuwepo madarakani...
Ukishaona ndani ya inchi uongo unatumika kwa watu waliopewa dhamana ya kutuongoza na imegeuka kuwa kitu cha kawaida basi jua kwamba kupambazuka kuko kalibu, sababu haiwezekani kwa mtu Mwenye akili timamu akubaliane na hayo yanayoongelewa na polisi
Niliichogundua wanawake huwa wanasaidiana sana mmoja wao anapoharibu,Mwanaume unapokuwa na matatizo na mwenzi wako usiombe ushauri uamuzi uko juu yako,Mjinga sana wewe jamaa
Hakuna binadamu anyeitwa mtakatifu huku ni kudanganyana,Mungu ameumba binadamu wa aina mbili,Mitume na binadamu wa kawaida,Mitume wamepewa uwezo au kalama tofautitofauti sisi tumeumbwa na mapungufu, hakuna binadamu aliyekamilika kila unayemuona anamapungufu kwa nini umuite Mtakatifu wewe ndiye...
Mreta maada hii mitandao inadanganya sana angalia usije ukaleta mfarakano ndani ya familia yako,huyo ni mzazi wako atakuja kukufia na kinyongo bure,kosa alilofanya mdogo wako kukutamkia,hivi vuta picha mnamkalisha mzazi wenu mnaanza kumuuliza mambo ya miaka mingi yaliyopita ili iweje,watu...
Siku nyingine ukiona kuku anapiga kelele za taadhali au hatali usitoke inje peku,kama una buti vaa,tumia mwanga yaani tochi,usiende kichwakichwa chukua taadhali,na usikose fimbo u panga,au wewe wa Daresaalam nini
usije jalibu kumuuliza baba yako,utapa laana na ndiyo itakuwa zambi kwako kubwa huyo ni mzazi wako kama alifanya kwa bahati mbaya au kwa makusudi atajuana na Mola wake, na ,kama alitubia ishalah ametubia Mungu atamsamehe,sio wewe mtoto mdogo aliyekulea tena ulikuwa unatishwa hata na inzi Leo...
Unajua unaposema inchi ya kipumbavu hakuna dili inategemeana na wewe unafanya dili gani,mfano kunamafundi wengi tu hapa wabongo wanatengeza sofa,kunawatu wanapiga Hera sababu ya kupiga bati kama za kibogo,ukija upande wa kilimo huku wewe lima hakuna haja ya mbole, ardhi yako haijachoka kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.