Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Mkutano wa moja kwa moja na wandishi wa habari kati ya viongozi na kuwapokea waliotoka magereza
Update
-------
 
Hivi kwa nini mtu anafurahiya anapomtesa mwingine,na kwa nini huyu anashangilia anapomuona yule anateswa,huwa najiuliza hawa watu wana akili kweli,
 
Kwa nini wanawazuia? Ndio kukosa kazi au maelekezo toka kwa yule intarahamwe mwenye mikono iliyolowa damu?
 
Na wakome! Wajifunze kuwa wazalendo na waache kutumiwa na mabeberu kuvuruga amani ya nchi kwa kisingizio cha Democrasia na wingi wa watu katika kutenda uhalifu wakidhani mkono wa sheria utawaogopa! Wakirudia wataadhibiwa kwa adhabu kali ili akili ziwakae kichwani! Badala ya kujenga hoja wananchi tuwaelewe wanaazisha vurugu za maandamano??? Shwaini!!
Ingekuwa poa kweli yule mwanafunzi aliyeuawa angekuwa ndio wewe au ndugu yako wa karibu.
 
Na wakome! Wajifunze kuwa wazalendo na waache kutumiwa na mabeberu kuvuruga amani ya nchi kwa kisingizio cha Democrasia na wingi wa watu katika kutenda uhalifu wakidhani mkono wa sheria utawaogopa! Wakirudia wataadhibiwa kwa adhabu kali ili akili ziwakae kichwani! Badala ya kujenga hoja wananchi tuwaelewe wanaazisha vurugu za maandamano???
Samahani mkuu, unajua waliandamana kwa sababu gani?
 
Back
Top Bottom