Recent content by ligimilo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Al Qaswus Hivi Ni Kinywaji Cha Aina Gani Na Husaidia Nini Mwilini Wakuu...?

    Ni mchanganyiko wa Karafuu (clove); Kahawa (Coffee); habat sauda (black seed); ); Pilipili mtama (Black paper); Maziwa (Milk); Asali (Honey). Basically it is an aphrodisiac Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Respect, Protect and Love women but never take advice from a woman

    Sikililiza mawazo yao, chambua then amua kwa kadri utakavyoona inafaa na si kuamua based on their advice
  3. L

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu

    Wadau naomba kujuzwa utaratibu unaopaswa kuzingatiwa ili kuanzisha Duka la Dawa Muhimu
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The psychology of women

    The opposite is true, this is from the research
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia Sita za Kumnasa Demu Mkali…

    No, you just have to know the psychology of women
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The psychology of women

    Mwanamke ambae hakulelewa na baba yake katika utoto wake, pindi atakapokuwa mtu mzima hupendelea kuwa na mwanaume (mwenza)ambae most of the time atakuwa akimuongoza katika Kila jambo regardless of its complexity
  7. L

    JamiiForums Tanzania Naona K-Vant akimfyekelea Mbali Konyagi

    Konyagi waliamini kuwa brand yao haina mpinzani, kitu ambacho si sahihi. Walitakiwa kwenda na wakati.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Umeeleza vizuri, mimi pia ningependa kujua kwa undani je ni vifaa gani vingine muhimu vya kuweka? mfano rula, penseli, kifutio.................
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kisamvu...

    Hakika ni tamu sana, nimekila usiku wa jana
  10. L

    JamiiForums Tanzania Roho mbaya ni maumbile ya mtu alivyoumbwa hayabadiliki hata Ukipewa Uchungaji

    Najihisi kama nna roho mbaya vile, duh, ntafanyaje kuondokana nayo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimhurumia sana baba yangu alipoambiwa na mama yangu kuwa mimi siyo mwanae wa kunizaa

    Makini sana
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimhurumia sana baba yangu alipoambiwa na mama yangu kuwa mimi siyo mwanae wa kunizaa

    Take it from me, wanaweza kutunza siri kwa muda tu, with time wanasema wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimhurumia sana baba yangu alipoambiwa na mama yangu kuwa mimi siyo mwanae wa kunizaa

    Ok sorry, Faiza nimetafakari maudhui ya ujumbe wa awali nimeshaelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimhurumia sana baba yangu alipoambiwa na mama yangu kuwa mimi siyo mwanae wa kunizaa

    Sjaelewa wamaanisha nn, nisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimhurumia sana baba yangu alipoambiwa na mama yangu kuwa mimi siyo mwanae wa kunizaa

    Hilo ni shambulizi kubwa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom