mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Si ni wewe hapo huu unalia lia kutaka demu mwenye chura au sio wewe?

KUNA watu wamezaliwa wakiwa na hofu kubwa ya kuwaogopa mademu wazuri. Kuna mwingine akimuona demu mzuri mtaani, anajisemea kabisa kwamba; yule si taipu yangu, eti kisa kapendeza, msafi na anaonekana matawi fulani ya juu. Mwanaume anatakiwa kujiamini, hakuna mwanamke duniani ambaye si saizi yako, kila demu unayemuona mtaani basi jua kwamba huyo ni saizi yako ndiyo maana Mungu kamuweka katika dunia hii na wewe kufanikiwa kumuona. Leo nataka nikufundishe namna ya kumpata demu mkali, hata kama wewe ni muoga, unahisi kwamba mademu wa aina hiyo si taipu yako lakini naamini njia hizi zitakufanya kumpata kiurahisi kabisa na kufanya mambo yako, kama ni kupanga naye maisha au la.
1.TAFUTA JINA LAKE KWANZA
Unapomtaka demu mkali mtaani kwako, kitu cha kwanza tafuta jina lake. Hii itakusaidia kumshangaza. Wanawake wapo hivi, huwa hawapendi sana kujulikana, inapotokea msichana huyo ukaonana naye na kumuita jina lake, kwanza atasimama, atakuuliza umenijuaje? Nani kakwambia jina langu? Usiogope, kwanza tabasamu, hilo litamfanya kuona kwamba wewe ni mtu mzuri, jibu utakalompa, hakikisha linakuwa lile la kukutafuta baadaye.
Kwa mfano unaweza kumwambia: “Mbona nakufahamu! Wewe ni staa sana hapa mtaani, kila mtu anakujua!” ukimwambia hivyo, atataka kujua zaidi na zaidi, ni akina nani wanaomjua halafu mbona yeye siyo staa! Unachotakiwa kufanya ni kujiweka bize, mwambie ‘nitakwambia nimekujuaje ila kwa sasa kuna sehemu nawahi.’
Ukifanya hivyo itamfanya yeye kuwa na hamu ya kukutafuta. Hata ukimwambia akutafute baadaye, atakutafuta kwa lengo la kutaka kujua imekuwaje. Ukiona ameelekea kidogo, mwambie niachie namba yako, nitakwambia, si hilo tu, kuna mengi kuhusu wewe.
Nakwambia hivi, kwa hatua hiyo, hakuna msichana ambaye atakukazia namba yake, lazima atakupa.
2.USIMLETEE SANA SHOBO
Akikupa namba, usijifanye kuwa na haraka ya kumtafuta. Unachotakiwa kufanya ni kucheza na akili yake kwanza. Najua atakuwa na hamu ya kupata simu yako, kwa siku hiyo mkaushie mpaka kesho yake ndipo umtafute. Kuwa makini, usimpigie, wewe mtumie meseji, mwambie “Upo poa staa wangu wa ukweli?” atakachokifanya ni kuuliza wewe nani! Inawezekana akawa anajua, ila kwa mapozi ya kike ni lazima ajidai kuuliza. Mwambie ni yule mshikaji wa jana! Ongezea kwa kumwambia kwamba utamtafuta ukirudi kutoka kazini, hata kama huna kazi, jiongeze kidogo.
3.MPIGIE SASA, ANZA KUMSIFIA
Wanawake wanapenda sifa, wanapenda kusifiwa. Kitu cha kwanza mwambie kwamba kuna siku uliwasikia washikaji wakimzungumzia, kwamba demu fulani mkali, anajua kuvaa, ananukia vizuri, ukataka kumjua ndipo wakasema kwamba ni yeye. Hilo litamfanya kujiona anakubalika sana, kumbe watu wanamsifia mtaani, kumbe wewe unamuweka kwenye saiti yako.
Ukiwa unazungumza naye, jifanye mcheshi sana, mchekeshe, mwambie na wewe ulivyokuwa na hamu ya kumjua msichana huyo msafi na mrembo ndiyo maana ukaamua kumtafuta. Mpaka kufika hatua hiyo, ataanza kukukubali, kwa ucheshi utakaomuonyesha atakuona wewe mtu mzuri na mtakuwa mnaanza kuchati. Usimtongoze lakini muonyeshee dalili za kumtaka. Chati naye hata kwa wiki moja halafu fanya njia ifuatayo;
4.MUOMBE MTOKO WA KIZUSHI
Hapa simaanishi mtoko wa kwenda klabu au ule mtoko siriazi sana, kwanza mwambie wewe siyo mtu wa klabu ila unataka kumpeleka sehemu fulani hivi kwenda kunywa kahawa au juisi. Kwenye kumuomba mwambie utajisikia furaha ukiwa unatembea na demu mkali kama yeye, mwambie kila mwanaume anajisikia fahari akitembea na msichana anayependeza na kunukia vizuri kama yeye. Kwa sifa hizo za mara kwa mara, atakwambia anayo nafasi hivyo atakukubalia.
5.KUWA MAKINI KWENYE MTOKO WAKO
Demu yeyote anapenda mwanaume mchangamfu, jinsi utakavyomuonyeshea uchangamfu kwenye simu iwe hivyohivyo hata ukionana naye na kutembea naye. Usimuonyeshee akahisi yule wa kwenye simu ni tofauti na huyu.
6.NENDENI MNAPOKWENDA
Usitake kutumia sana pesa, usitake kuingia gharama kubwa kwani mademu wana kawaida ya kumsoma mwanaume siku ya kwanza tu. Kama vipi mwambie wakati wa kurudi mtembee kwa miguu, hii itakupa nafasi ya kuzoeana sana, hata kama akitaka mpande usafiri, mwambie mtachukua mbele, kwanza omba kutembea naye hata nusu kilometa. Katika maongezi yote usijisifie ila mfanye ajue unajua mambo mengi sana.
Jaribu kumwambia mambo ambayo unaamini hata yeye hayajui na angefurahi kuyajua. Mwambie kuhusu hadithi ya Romeo And Juliet, mwambie kuhusu Malkia Cleopatra alivyotetemesha kwa uzuri wake, mwambie mambo mengi ambayo utaamini kwamba hayafahamu ila angependa ayafahamu.
MALIZIA KWA KUMWAMBIA HIVI…
Mkiachana na kurudi nyumbani, mpigie simu, mwambie unamisi uwepo wake, ungetamani uwe naye tena, unaimisi harufu yake, mwambie ulikuwa karibu na ua kwa hivyo ile harufu yake imekupata hata wewe. Mchekeshe kidogo, mwambie unamisi tabasamu lake, mwendo wake wa twiga, mwambie unamisi uzuri wake, yaani huo ndiyo muda wa kumsifia mpaka ajione duniani hakuna mwanamke kama yeye. Ukifanya hayo, jua kwamba huyo mwanamke lazima akukubali kwani atahisi yupo na mtu sahihi.
Nimezaliwa mjini ila sioni mantiki ya kuhonga 80,000/=. Kwa buku 5 tu unapata huduma Shivas hadi wazungu wapo.Mbo
Karibu mjini mi nakata hadi 300,000,hard worker ka mm niache kuwaza miradi yangu nianze kutembea na mtu nusu maili,mi nikiona demu mkali naulizia rafiki yake namwambia niunge ntakupa kilo yy ntamtoa kilo mbili ,naletewa kitu lodge natafuna nasahau Nina lake
Kwa hiyo mzee kila ukiwa na hamu na papa unatumia 80k??Utasugua sana ukifuata hizo pumba, njia rahisi ni kumwaga minoti tu.
Ile unachukua namba mtandike usoni na 30,000 mwambie hiyo ya vocha. Alafu hakuna kulemba jioni omba utoke nae hawezi zingua. Akija mpeleke mahala mpate vinywaji huku unampa stori za kumnyegesha na kumsifia kwa sana. Yaani ikipita masaa kama matatu hivi uko kwenye hizo stori mtoto hachomoi, msogelee sasa anza kumshika shika hapa na pale ukiona ana kubali kwisha habari yake. Mtandike tena na 50,000 alafu chukua chumba jisevie utakavyo. Ataka kama mmekutana leo Papuchi anatoa tu kirahisi labda uwe zombie. Ndio njia nayo tumia mm kila nikiwa na hamu na Papa.
No, you just have to know the psychology of womenThubutuuu!!
Bila pesa kwa hawa wadada wakibongo kuwapata inakua ishu.
Kabla hajafikia hatua ya 3 tu demu atakuwa na meseji hajibu. Labda huyo demu awe amewaka na wewe, na mademu wazuri wanajijua sikuhizi wala huna haja ya kumaliza meseji zako. Labda awe wa mkoa ila hawa watoto wa town atakutizama tu kama hujamsuuza nafsi yake kwa muonekano tu yajayo yanasikitisha.Kwa mademu Wa sasa hivi nadhani kwa hizi process zote hawawezi wanaona unawazingua tu.
Hahahah jamaa umeongea kwa hisia sana ila iko waziii!!! Pesa inachukua sehemu kubwa ya maisha yetu. Japo kuna wanaosema pesa sio kila kitu!WEWE WADANGANYE WENZIO TU MANINA ..DEMU MKALI HATA UKIMTONGOZA THEN AKAKUKUBALI NA UKAFAULU KUMLA ..KAMA UKIWA HUNA KITU THEN CO MTOTO WA MJINI LAZIMA UTA FALL TU ...SASA BALAA LINAANZIA HPO PESA YKUMFNYA AWE ANAZIDI KUN'GAA HUNA MAISHA YKO YENYEWE YAKUTEMBEA NA BWANA KAMA PETRO ....SO JIANDAE KUFA KWA STRESS....MIMI SITAKAGI KABISA HUO. UJINGA ...MIAKA YA NYUMA KAMA ILIPOKUWA NAONA KUWA SINA PESA NIKIFAULU KUMKAMATA NAPIGA THEN STAKI TUWE CLOSE ...YAANI NATAKA YALE MAHUSIANO FLANI YA KISELA ...
Mkuu hata wanafunzi hupati tena ndo kabsa,wanafunzi wanapenda magari mkuu ,na akikuzoea siku ya 5 unaambiwa hajalipa Ada,ndo maana vijana walioanza kazi wanawaza magari MTU anajiminya kisa Hawa watoto wazuriHizi njia labda kwa wanafunzi ambao hawajui kuwa maisha ni pesa, wanawake waliokwisha haribika na jiji(slay queens) huwezi mletea story au ngonjera za kumsifia akakuelewa na wengi ni warembo kweli kweli. Labda ma single maza wasio na dira pia wataelewa flashback ya mistari!
mademu wanene m sio size yangu hapo umenidanganyaKUNA watu wamezaliwa wakiwa na hofu kubwa ya kuwaogopa mademu wazuri. Kuna mwingine akimuona demu mzuri mtaani, anajisemea kabisa kwamba; yule si taipu yangu, eti kisa kapendeza, msafi na anaonekana matawi fulani ya juu. Mwanaume anatakiwa kujiamini, hakuna mwanamke duniani ambaye si saizi yako, kila demu unayemuona mtaani basi jua kwamba huyo ni saizi yako ndiyo maana Mungu kamuweka katika dunia hii na wewe kufanikiwa kumuona. Leo nataka nikufundishe namna ya kumpata demu mkali, hata kama wewe ni muoga, unahisi kwamba mademu wa aina hiyo si taipu yako lakini naamini njia hizi zitakufanya kumpata kiurahisi kabisa na kufanya mambo yako, kama ni kupanga naye maisha au la.