Recent content by LightYagami

  1. LightYagami

    Kenyan & Tanzanian Surburbs

    Bkqst from the past
  2. LightYagami

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tz kuna gravitron?
  3. LightYagami

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nice modern expressway
  4. LightYagami

    Kenya: Kupanda kwa bei ya viazi na mafuta kwasababisha migahawa kuondoa chipsi kwenye menyu

    https://npck.org/potato-production-growth-in-africa/ Algeria: 4,928,028 tons Egypt: 4,800,000 tons Malawi: 4,535,955 tons South Africa: 2,252,000 tons Rwanda: 2,240,715 tons Kenya: 2,192,885 tons
  5. LightYagami

    Kenya: Kupanda kwa bei ya viazi na mafuta kwasababisha migahawa kuondoa chipsi kwenye menyu

    Kenya is one of the biggest producers wa viazi in africa btw
  6. LightYagami

    Wakenya hebu nifafanulieni kuhusu Ugavana, Useneta na Ubunge huko kwenu

    Kuna county/gatuzi.. Kila county Kuna governor anayeitawala. Gavana nikama rais wa county. Kuna county 47. Kila county iko na seneta, na maseneta wengine 20 wameteuliwa, so 67 in total Maseneta kazi yao ni kujadili mijadala inayohusu county, pia wanaweza kumtimua (impeach) raisi, naibu wa...
  7. LightYagami

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nimewatch video fulani pale youtube mtz akicompare Kenya na TZ. Naskia hamna Uber/Bolt/taxify Anyway point ya sita will shock you
  8. LightYagami

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    50% plus done
  9. LightYagami

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Maridadi
  10. LightYagami

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kenya kuna a lot of compensation bana. Land ni expensive huku
  11. LightYagami

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Pesa tunazo kaka, tutalipa
  12. LightYagami

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kenya tunapost miradi ya maaana, TZ mnapost nyasi
  13. LightYagami

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hawaelewi metro ni nini Hawa. Nariobi metro for example imefika past kenol, actually pale Makuyu wanaanza kudevelop Makuyu Ridge. Almost 70km from CBD
Back
Top Bottom