Recent content by lightning

  1. lightning

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke enzi za 'debate' na 'morning speech' tulipokuwa shuleni

    Mkuu umesahau "School baraza" Usiombe ukaongea pumba tutakupigia makofi mwanzo mwisho mpaka uachie mic mwenyewe [emoji51] [emoji51] [emoji51]
  2. lightning

    JamiiForums Tanzania SHAHIDI: Chusa alipanga mauaji ya Bilionea Msuya

    Mtu yupo chini ya ulinzi na bado anaweza kupanga uhalifu........ Hii ni nini...? 1. Vyombo vya usalama vimezidiwa mbinu na wahalifu? 2. Au vyombo hivi vya usalama vinashirikiana na wahalifu?
  3. lightning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bilionea amwaga "billions" kuileta Barcelona Afrika

    Mechi itakuwa Mei 6, 2018 ?!
  4. lightning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Yajayo yanafurahisha....26:05:18:21:45
  5. lightning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool wanatikiwa kushambulia wakati wote, wasijaribu kupaki bus hata kidogo!
  6. lightning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Jumla ya goli anazo pigwa Roma katika mechi mbili ndo atakazo pigwa Madrid usiku ule !!! [emoji41] [emoji51]
  7. lightning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Confirmed: It's Liverpool VS R.Madrid.
  8. lightning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    IN THE LINE OF DUTY
  9. lightning

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awashangaa CCM na wananchi wa Iringa mjini kwa kutompa ubunge Dr. Mahiga

    Nashangaa kwa nini hakupewa urais!
  10. lightning

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iangalie makato ya vyama vya wafanyakazi ni makubwa mno

    Sitamani hata kidogo kujitoa kwenye TUICO. Nanufaika sana na Mkataba wa Hali Bora. Lakini pia nina uhakika wakutetewa kisheria nikionewa. Nakatwa 2% monthly but kwenye CBA napata annual increment ya 10% ya basic yangu
  11. lightning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukumbushane vipindi na tamthilia maarufu za kwenye TV za kipindi hicho. Mnakumbuka wapi?

    Mapicha ya kihindi pale CTN kila jumapili, achaaa bhana!!!!
  12. lightning

    JamiiForums Tanzania Musiba: Nina majina 1,800 ya wanaompa Mange Kimambi siri za Serikali; kuna vigogo wa Serikali, CCM na CHADEMA

    IGP ??????[emoji15] [emoji15] [emoji15]
  13. lightning

    JamiiForums Tanzania TLS ni chama cha kitaaluma kinachojielewa kuliko vyama vyote nchini

    Bora TUICO kidogo
  14. lightning

    JamiiForums Tanzania Waraka kutoka Iringa: Sababu za Tundu Lissu kumshambulia Rais Magufuli hizi hapa...

    Paukwaa.....pakawa!! Hadithi nyingine tafadhali
  15. lightning

    JamiiForums Tanzania Sterling Engineering wafuta kesi mahakamani baada ya kuona Tanzania itaibwaga

    So called " deed of settlement"
Back
Top Bottom