Recent content by lifuen2015

  1. L

    JamiiForums Tanzania Prof. Beno Ndulu: Watu wanaongea wasiyoyajua, BoT haina wafanyakazi hewa

    Rudi wakakupe maelezo vizuri naona,hukusikiliza walichokutuma nenda
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe timiza ahadi yako, Jiuzulu

    Hahaha hawezi hata siku moja mbowe hawezi kuachia biashara inaitwa CDM
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwanza itatingishika Lowassa atakapowasili kesho!

    Hahahaah hiyo chei chei shangazi ya Lowasa naCDM yao feki
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wanaombeza Magufuli kuhusu kiingereza: Waandike thread zao kwa kiingereza

    Hivi mawazo ya kikolon haya yataisha lini
  5. L

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Waangalizi wa ndani wa uchaguzi(Cemot) wakataa kushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar

    Hawana madhara sana,kwanza hawa wapo kibiashara tu labda walitaka kulipwa zaidi
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA wateka nchi

    Mwanzoni niliposoma nikashtuka kuwa kina nini kimbe,ni habari za chama kilichojifia nani atashtushwa sasa ama huo ambao anafukisha mtu mmoja ni mweupe kweli?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Rais kutumia lugha ya Kiingereza

    Hadithi hii inatufundisha kuwa tusiwe watumwa kama kiinchi kidogo ambacho kilikuwa masikini na sasa ni tajiri tena bila hata ya kuweka mbele lugha ya mkoloni ya kikoloni.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye DC Makonda akabidhi rasmi vitambulisho vya kusafiri kwa Walimu

    Ubunifu wako utakubeba Makonda endelea kupigania za wengi siasa achana nazo mkuu,watasema usiku haoooo wanalala
  9. L

    JamiiForums Tanzania Magufuli amekosa exposure

    HOJA yako halmanusura iwe na maana lakini,ulipoanza kuingiza yale unayoyashangaa ulaya na kuyaabudu na kutaka rais afuate sala yako hapo ndo nimekuona huna hoja nzito sana,ila inaonekana unaamini maendeleo kupitia akili za wengine na hasa wazungu hapo tumepishana pole
  10. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Hapa kazi tu mengine,maneno ya kwenye kanga
  11. L

    JamiiForums Tanzania Pesa zilizoanzisha CHADEMA na historia ya zama hizi na ufisadi

    Du aise hii historia ya Cdm Nilikuwa siijui,nimegundua sasa na ndiyo maana mhhh kweli kibaya huzaa kibaya
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona leo Kivuko cha Kigamboni

    Hongera kwa moyo huo
  13. L

    JamiiForums Tanzania The English of President Magufuli of Tanzania

    For sure Ngonani,I want to vormit here because of his fake idiology towards English language,this is language like any other language.
  14. L

    JamiiForums Tanzania The English of President Magufuli of Tanzania

    We are not slaves of this Colonial language,Chinese President speaks their own language where are they?Economically there are better than those who swallow English words day and night,and those who have lost their identity,shame on you!!!
Back
Top Bottom