Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Inasemekana hivyo.Sometimes hata wale wa nguo nyeupe barabarani wanakuwaga na vitabu viwili. Kimoja cha sirikali na kingine cha magumashi.
Inasemekana hivyo.Sometimes hata wale wa nguo nyeupe barabarani wanakuwaga na vitabu viwili. Kimoja cha sirikali na kingine cha magumashi.
I am confused. Anapo scan ticket moja tu kati ya kumi, hao wengine 9 wanaingiaje? Mimi nadhani hiyo scanner ndo pia inafungua gate ili mtu mmoja mmoja apite, au sielewi kitu??
ninyi ndo mnaolisaidia taifa.Cc Manyerere JacktonLeo wakati nipo ferry nimeshuhudia kitu cha kusikitisha, licha rais wetu anajitahidi kudhibiti rushwa na kukusanya mapato, lakini kuna watz wachache wamethibitisha mtoto wa haramu hata umfiche ndani ya chupa atatoa kidole tu ili kuonyesha uwepo wake.
Ni hivi, nimefika ferry mwanzoni kabisa nakutana na geti na kibanda cha kukatia tiketi, nikalipa nauli nikapewa tiketi iliyochapwa kwa kompyuta. Nikaingia ndani nakutana na kijana ambaye anakusanya zile tiketi na kuzimulika ( jina silijui) na kitu kama sensor fulani ambazo husoma zile tarakimu na kuziingiza kwenye mfumo wa ukusanyaji mapato pale kivukoni,
Sasa huyu jamaa anachokifanya ni kukusanya tiketi kama kumi halafu anaimulika ya juu tu halafu anazichana, kwa hiyo zile tisa za chini zinakuwa hazijaingizwa kwenye kompyuta kuonyesha kuwa tiketi zile zimenunuliwa.
Nashauri kuwe na mashine ambazo ikitoa tiketi isome moja kwa moja bila kuhitaji mtu wa pili wa kumulika kama zile za madukani.
Jipu Kuu.Leo wakati nipo ferry nimeshuhudia kitu cha kusikitisha, licha rais wetu anajitahidi kudhibiti rushwa na kukusanya mapato, lakini kuna watz wachache wamethibitisha mtoto wa haramu hata umfiche ndani ya chupa atatoa kidole tu ili kuonyesha uwepo wake.
Ni hivi, nimefika ferry mwanzoni kabisa nakutana na geti na kibanda cha kukatia tiketi, nikalipa nauli nikapewa tiketi iliyochapwa kwa kompyuta. Nikaingia ndani nakutana na kijana ambaye anakusanya zile tiketi na kuzimulika ( jina silijui) na kitu kama sensor fulani ambazo husoma zile tarakimu na kuziingiza kwenye mfumo wa ukusanyaji mapato pale kivukoni,
Sasa huyu jamaa anachokifanya ni kukusanya tiketi kama kumi halafu anaimulika ya juu tu halafu anazichana, kwa hiyo zile tisa za chini zinakuwa hazijaingizwa kwenye kompyuta kuonyesha kuwa tiketi zile zimenunuliwa.
Nashauri kuwe na mashine ambazo ikitoa tiketi isome moja kwa moja bila kuhitaji mtu wa pili wa kumulika kama zile za madukani.
Wakikusanya bila kuchana wanauza tena,hicho ndio huwa kinafanyika lakini scanning ni mbadala wa kuchana ili tiketi isitumike tena na wewe ulienunua,yaani usije ukampa mwingine akaitumia.Hasa wanapokuwepo watu wengi huwa wanazikusanya, mimi binafsi alichosema mtoa mada nimewahi kukiona kwa macho, hasa traffic inapokua kubwa, lakini nimewahi kuona wanazichana. Sasa kama wanaenda kuuza tena sina uhakika!