Historia inasema mwanzilishi wa CHADEMA ni MZEE Mtei aliyekuwa Gavana wa benki kuu na baadae kufukuzwa na Nyerere kwa sababu ya wizi benki Kuu.Pesa hiyo hiyo ndio ilitumika baadae kuanzisha chama cha CHADEMA.
Wahenga wanasema historia uwa haifi ni sawa na laana.
Kwanini...
Walianza vizuri na pia chini ya Dr. Slaa walipinga ufisadi lakini kwa sasa wamegeuka kuwa watetezi wa mafisadi yanayotumbuliwa na watumishi wanaoomba rushwa kufanya upasuaji wa wagonjwa.
Kwa hali hii inaonesha kuwa chema uzaa chema na kibaya uzaa kibaya.Na sasa wanatetea mafisadi na kununuliwa na mafisadi kwasababu historia ya chimbuko lao kuna ufisadi.Laana hii inaonekana ni kihistoria zaidi.
Jadili bila mihemuko, Tanzania kwanza.