Umoja wa Waangalizi wa ndani wa uchaguzi(Cemot) wakataa kushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Muungano wa Waangalizi wa Ndani wa Uchaguzi (Cemot) umesema hautashiriki katika uangalizi wa uchaguzi wa marudio Zanzibar utakaofanyika Machi 20 mwaka huu kutokana na kukabiliwa na ukata.

Cemot ni umoja wa taasisi za waangalizi wa ndani wa uchaguzi inayohusisha Kamati ya Uangalizi wa Uchaguzi (Temco) na Muungano wa taasisi zisizo za kiraia za kusimamia uchaguzi (Tacceo) ambazo zilitumia waangalizi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana.

Akizungumza na waandishi wa habari Arusha katika warsha ya mrejesho wa taarifa ya waangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu, Mwenyekiti mwenza wa Cemot, Martina Kabisama alisema fedha zote zilitumika katika uchaguzi uliopita.

“Kwenda kuangalia uchaguzi ni jambo linalohitaji rasilimali, hivyo hatutakwenda Zanzibar katika uchaguzi wa marejeo kwa kuwa tulikuwa hatujaandaa andiko la kupata fedha za uchaguzi huo,” alisema.

Kabisama alisema Cemot ilikuwa na waangalizi wa muda mfupi 9,400 na wengine 350 waliotoka Tacceo na Temco.

Mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu kwa Tanzania Bara na Visiwani, Dk Alexander Makulilo alisema Cemot ilifanya kazi kubwa katika uangalizi na imeandaliwa taarifa inayoonyesha mahitaji ya maboresho katika chaguzi zijazo.

Dk Makulilo ambaye anaongoza timu ya uandishi wa taarifa ya Cemot, alisema uchaguzi wa Zanzibar uliopita ulikwenda vizuri licha ya kuwapo dosari kidogo sawa na Tanzania Bara.

Alisema Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na mashirika yasiyo ya kiserikali, walifanya kazi ya kutoa elimu ya wapigakura, tofauti na Tanzania Bara.

Pia alisema visiwani humo polisi walitekeleza vizuri wajibu wao tofauti na Tanzania Bara.

Dk Makulilo alisema asilimia 87 ya waangalizi wa Zanzibar walieleza polisi walifanya kazi nzuri kwa asilimia 65 kutokana na kusimamia vema uchaguzi.
 
tunaelekea kwenye fukuto la kuitingisha nchi
 
Ina maana wanakubali kuusimamia uchaguzi ujao alimradi wapewe hela. Serikali izitafute
 
Nimefurahi sana kusikia hao wahuni hawatashiriki uchaguzi wa Zanzibar. Walikuwa wanasambaza uhuni tu
 
Ningekuwa na elimu kubwa hao viongozi wa CCM ningewasomea dhahar wapotee kabisa.
 
Mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu kwa Tanzania Bara na Visiwani, Dk Alexander Makulilo alisema Cemot ilifanya kazi kubwa katika uangalizi na imeandaliwa taarifa inayoonyesha mahitaji ya maboresho katika chaguzi zijazo.

Dk Makulilo ambaye anaongoza timu ya uandishi wa taarifa ya Cemot, alisema uchaguzi wa Zanzibar uliopita ulikwenda vizuri licha ya kuwapo dosari kidogo sawa na Tanzania Bara.

Alisema Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na mashirika yasiyo ya kiserikali, walifanya kazi ya kutoa elimu ya wapigakura, tofauti na Tanzania Bara.

Pia alisema visiwani humo polisi walitekeleza vizuri wajibu wao tofauti na Tanzania Bara.

Dk Makulilo alisema asilimia 87 ya waangalizi wa Zanzibar walieleza polisi walifanya kazi nzuri kwa asilimia 65 kutokana na kusimamia vema uchaguzi.

Hapa ndipo pamewafanya watengenezewe ukata hakuna kingine
 
Akizungumza na waandishi wa habari Arusha katika warsha ya mrejesho wa taarifa ya waangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu, Mwenyekiti mwenza wa Cemot, Martina Kabisama alisema fedha zote zilitumika katika uchaguzi uliopita.

Wamezibomoa hela za wazungu hadi basi!
Anasema zimeisha aweke hapa ripoti ya mapato na matumizi zilizokaguliwa na wakaguzi (auditors) tuthibitishe kuwa kweli zimeisha.
 
Mungu mkubwa!afadhali sana walipokataa japo wao wanasema shida fedha ila najua shida si fedha kwa maana wangesema mapema THE GREEN PARTY wangewapa hata mara mbili ya walizozitumia mwanzo,ukweli ni kuwa hawako tayari kuwa sehemu ya historia chafu,maana wangeseam wanataka noti jamaa wangetoa tu ili wahalalishe dhuluma.
 
Jecha alisema pesa ya uchaguzi wa marudio ipo kwa hiyo watapewa

Tatizo siyo pesa kwani walishashiriki na kusema kuwa "UCHAGUZI UMEKUWA WA HURU NA HAKI" ni sawa na wale wa kimataifa ambao walitoa kauli za hivyo.

Je leo watashiriki kusimamia kisha watasemaje au watakula matapishi yao?????

Wasipoteze muda wao waendelee na kazi za kujenga familiya zao badala ya kwenda kushiriki uchaguzi. na pia wananchi waendelee na kazi zao za kujenga familiya zao.
 
Muungano wa Waangalizi wa Ndani wa Uchaguzi (Cemot) umesema hautashiriki katika uangalizi wa uchaguzi wa marudio Zanzibar utakaofanyika Machi 20 mwaka huu kutokana na kukabiliwa na ukata.

Cemot ni umoja wa taasisi za waangalizi wa ndani wa uchaguzi inayohusisha Kamati ya Uangalizi wa Uchaguzi (Temco) na Muungano wa taasisi zisizo za kiraia za kusimamia uchaguzi (Tacceo) ambazo zilitumia waangalizi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana.

Akizungumza na waandishi wa habari Arusha katika warsha ya mrejesho wa taarifa ya waangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu, Mwenyekiti mwenza wa Cemot, Martina Kabisama alisema fedha zote zilitumika katika uchaguzi uliopita.

“Kwenda kuangalia uchaguzi ni jambo linalohitaji rasilimali, hivyo hatutakwenda Zanzibar katika uchaguzi wa marejeo kwa kuwa tulikuwa hatujaandaa andiko la kupata fedha za uchaguzi huo,” alisema.

Kabisama alisema Cemot ilikuwa na waangalizi wa muda mfupi 9,400 na wengine 350 waliotoka Tacceo na Temco.

Mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu kwa Tanzania Bara na Visiwani, Dk Alexander Makulilo alisema Cemot ilifanya kazi kubwa katika uangalizi na imeandaliwa taarifa inayoonyesha mahitaji ya maboresho katika chaguzi zijazo.

Dk Makulilo ambaye anaongoza timu ya uandishi wa taarifa ya Cemot, alisema uchaguzi wa Zanzibar uliopita ulikwenda vizuri licha ya kuwapo dosari kidogo sawa na Tanzania Bara.

Alisema Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na mashirika yasiyo ya kiserikali, walifanya kazi ya kutoa elimu ya wapigakura, tofauti na Tanzania Bara.

Pia alisema visiwani humo polisi walitekeleza vizuri wajibu wao tofauti na Tanzania Bara.

Dk Makulilo alisema asilimia 87 ya waangalizi wa Zanzibar walieleza polisi walifanya kazi nzuri kwa asilimia 65 kutokana na kusimamia vema uchaguzi.
Hao hata wasipo shiriki hakuna kinacho haribika na haizuii uchaguzi kufanyika.......! Bora wasishiriki maana huwa waongo.
 
Wanakisonge watajaza nafasi za waangalizi wa ndani na nnje. CCM mbele kwa mbele weraaa!
 
Back
Top Bottom