MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
- #21
CHADEMA inamilikiwa na wanachama Hai wakiongozwa na Mzee Mtei!Mbowe ni mmiliki wa chadema!
CHADEMA inamilikiwa na wanachama Hai wakiongozwa na Mzee Mtei!Mbowe ni mmiliki wa chadema!
Yaliosemwa hadi June 2015 yamepitwa na wakati CDM pya imezaliwa July 2015 Trh 22 baada ya kupata Mgombea wa kiti cha UraisUna maana gani?
Mambo ya CCM yanaingiaje kwenye ahadi za Mbowe?Kama ccm ilokuwa inaahidi bila kutekeleza ahadi zake bila utekelezaji we we unayen g'ang'ania Mbowe ajiuzuru una lako jambo ndani ya Chadema inaonekana kuwepo kwake kunakunyima usingizi M/ Kiti achana na wajinga kama hao
Kwani ww ni Kabila gan mkuu tuanzie hapoSijawahi na sitowahi, wala kujaribu kuwaamini Wachagga kwenye jambo lolote.
Kwani ww ni Kabila gan mkuu tuanzie hapo
Sio kosa lako kusema hauwaamin wachaga kwa sbb nyie ndo wale msiopenda mabadiliko kabisa.Mimi Mmanyema.
Sio kosa lako kusema hauwaamin wachaga kwa sbb nyie ndo wale msiopenda mabadiliko kabisa.
GKama ccm ilokuwa inaahidi bila kutekeleza ahadi zake bila utekelezaji we we unayen g'ang'ania Mbowe ajiuzuru una lako jambo ndani ya Chadema inaonekana kuwepo kwake kunakunyima usingizi M/ Kiti achana na wajinga kama hao
Hiyo ahadi ya mgombea wa CCM inahusiana nini na ahadi ya Mbowe?Vipi ahadi ya Maisha Mabovu kwa Kila Mtanzania! Mlitimiza? Go Kamanda Mbowe
Anachotakiwa ni kutimiza ahadi yake!CDM ni joint stock kampani ,ana share zake he is still the owner
Kilicho mbele yetu kwa sasa anatakiwa atimize ahadi yake.Kamanda wa anga alibadili gia angani akaangusha baadhi ya abilia wake kama akina Slaa na akapokea WACHAWI na WEZI WA KURA kutoka Ccm kama.
Anga ilichafuka baada ya kumuweka FISADI ndie aipeperushe bendera ya Uraisi.Chadema ikauzwa kwabei cheeee!!.
Unampa uongozi FISI awaongoze MBUZI,kadi nachana nanyongea GANJ*** napata ghadhabu za propaganda za MANYUMBU WA§£!\!€£.
Anayejiita Sometimes kwani ndiye Simiyu Yetu vilevile? Maana Ulivyojibu swali la Simiyu Yetu umetia shaka sana.Inawezekana hata wewe ni tapeli fulani usiyeaminika kwa dalili ndogo tu kama hizi.Nina maana kuwa Mbowe hawezi kamwe kujiuzulu!
Jisemee mwenyewe kwa sababu kile unachokiona wewe hakina maana kwa wengine kina maana sana.Naona mnatuletea baadhi ya mijadala ambayo haina maana humu ukumbini.
Kwamba CHADEMA mpya imezaliwa!Yaliosemwa hadi June 2015 yamepitwa na wakati CDM pya imezaliwa July 2015 Trh 22 baada ya kupata Mgombea wa kiti cha Urais