Jamani wana jamvi poleni kwa kusubiri. Sijafa, sijanyamazishwa wala sijakatiwa "mshiko" ili nikae kimya.Issue ni kwamba, mpaka sasa sijaweza ku verify asilimia mia kwa mia taarifa/habari nilizonazo. Kama ningeendelea na hii stori inge bidi nitumie maneno kama "it is alleged", "It is said"...