icho kikosi kocha nani aligo sachi au wimbo, nawakumbuka wachezaji kama matokeo, makala dilunga, george ngasongwa, abeche, choraji maiko chambega, dah kitambo home boy
wana maana yao wape koneksheni sio kila mtu mjinga huwezi kujua mapungufu ya wenye kazi jifunze kwa mandonga kama tunaelewa tuelekeze tusilaumu fulustopu shubamiti,
hakuna kitu ambacho hakipo kwa kutamkwa kwa jina mfano kusema mshana jr hayupo aileti maana unasemaje mungu hayupo na ikiwa una mtaja kwa jina mimi na kwambia mungu yupo haki ya mungu tena,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.