Recent content by Lib Socialist

  1. L

    JamiiForums Tanzania Umefanya nini toka Januari 2015 hadi Disemba?

    Puzzled! Please explain
  2. L

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Hata kama una vibali vya ujenzi, bomoa bomoa ni lazima

    Acha uongo na kudanganya watu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

    Marijani Rajab
  4. L

    JamiiForums Tanzania Baraza Jipya: Huu Uundwaji wa Baraza Dogo, Je Rais Magufuli Hajakiuka Sheria, Taratibu na Kanuni?

    Chukua "like" ngoja nitoke kidogo njema ya hoja. Mimi ningependa pia viongozi wakati wa kutambulishwa, Kuandikwa kwenye magazeti, TV na radio zile title zao za kutokana na elimu zao zisitumike kabisa. Zitumike za vyeo walivyonavyo mfano badala ya kumwita au kuandika Mheshimiwa waziri wa mambo ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    Sitta na sio Mwakyembe. Alafu hana hata miezi mitatu tangu Kikwete ampandishe kuwa mkurugenzi
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nani kamuuzia Manji ufukwe wa Coco?

    We mjinga sana, yaani umesha jua yote hayo
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini na kifo cha Komando Tamimu

    A riveting story
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na Naibu Spika kama atalihimili bunge

    Mi naona muda wa yeye kuwa spika umetimia. Jambo la muhimu ni awe tayari kujifunza na kuwa na hekima. Sio kiongozi "by chance"...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Yaani we unajivunia elimu ya wanafunzi kurudia madarasa.Ndo unaona ubora wa elimu.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Arrest ordered for Nigerian over '$2bn missing in arms deal'

    Well this will have a minimal or no impact at all simply because the war on terror today needs a series of persistent efforts to dismantle networks of violent extremism
  11. L

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai, Naibu Spika Tulia Akson Mwansasu, lazima UKAWA wanyooke

    Unadhani watapitisha jina lake kwa sababu ya uwezo wake au jinsia?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars: TBC 1 television ya taifa wataonyesha?

    Sioni ulazima wa TBC kuonyesha mechi kila wakati timu ya taifa inapokuwa katika michuano, tuna chaneli nyingi Tanzania ambazo zinaweza kufanya jambo hilo. Uelewa wako mdogo unadhani ni jukumu la TV ya serikali tu.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars: TBC 1 television ya taifa wataonyesha?

    Umeshindwa kunielewa inaonyesha "unaona ufahari"TV ya taifa kuonyesha mechi. Sio lazima ionyeshe ni jambo la utaratibu tu.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars: TBC 1 television ya taifa wataonyesha?

    Nadhani itapendeza TV ya taifa ibaki na maswala ya jamii. Ya michezo yafanywe na TV zingine. Tanzania ya leo si ya jana kila kitu serikali. Kinachotakiwa ni uboreshaji wa huduma zake.
Back
Top Bottom