Recent content by Lgy8250

  1. L

    Membe: Hatuwezi kuongozwa na Rais mbumbumbu, asiyeweza kujieleza!

    Dah kama ni shu za kutema yai mazeee mbona mtoni huwa wanaenda tuu huko huwa wanainteract vp waheshimiwa mi naona Yai halimati saana but yai it like kiswahili kinachomata ni IQ ya mtu na uzalendo mazee tukibakia kuangalia kutema yai kuna watu hawkufika Elimu ya juu but wana strategies na...
  2. L

    Nimfanyaje huyu binti..

    Ila hamna ishu ya kushangaza kama mshkaji yupoo soreus afnye mambo tuu kwaajili ndoa nyingi mkitokeana labda iwe siri ukipandamo kanisa likistukia unatengwa ila mkikamilisha mipango mnarudishwa kundini kiaina so angalia kama haupo soreus mzeee
  3. L

    Interview:kwa cv kama hii nakupa kazi

    Usiposimama Utasimamiiwa :shut-mouth:
  4. L

    Interview:kwa cv kama hii nakupa kazi

    Usiposimama Utasimamiiwa :shut-mouth:
  5. L

    Interview:kwa cv kama hii nakupa kazi

    Nimeipenda wadau hata sisi na shule zetu wanatuhadaa na tunakubali bora mshikaji kajitutumua mzee kaeleza kile alichonacho na wakamuita kutestify na kawaimpres kapata kitengo so .....siri ya mafanikio ni kujiamini mzee kajiamini kapata dili Congratulation ziende kwa yeye Wabongo bado tuna...
  6. L

    Mtaalamu wa Linux anahitajika

    Yap wazee if iwant to perticipate in that project inorder to improves staff my skill on that proffesional how can i perticipate?
  7. L

    Afumaniwa na dada yake akijivinjari na shemeji yake

    Do huyo dogo alilemewa na msongo wa mawazo kuhusu shule ndio maana huyo jamaa akatake advantage ya weeknes point ili apige mambo yetu yale sister anatakiwa aongee na dogo wake mara mbili pia amuiotie mumewe wazee wamkanye cha msingi asijaribu lipiza kisasi kama ilivyo kawaida ya wadada...
  8. L

    Wanyakyusa sio Mwa, Mwa.. tu!

    Arooo check about exceptionist wazeee Wa-UK pia kuna tofauti sio R.....A Check pia haya Rugaijam Rweyemam Rugaimukam Rweyobama(Sorry nadhani hiri rimetokana na Obama pia unaweza kuongeza samahani kama nimekuudhi yaani Im sorry i mean samahan) You may addd another au unaweza ongeza...
  9. L

    Vyuo vya Tanzania

    Atawapa baadae lakini naona utafiki huu wa kifukunyuku ulifanyika kabla baadhi ya vyuo havijaanzishwa kwa kuwa umekaaa kizeeekizee tena Jizeee lililofulia lipo kijiwe linashindana Usela na madogo yanayochipukia Lakini its funi mi mwenyewe nipo kwenye College mojawapo ila si kiivyo fundi...
  10. L

    RAID Controller

    poa kuhusu ishu za raid controller nenda kwenye bios setting allaf set hiyo hard disk nyingine kama slave kama ikikataa check hiyo drive ya 200gb ndiyo uiwekeee OS alaf uionganishe hiyo nyingine kama slave ila inategemea hiyo yoa 200gb ni external au internal hard disk m2mzima ka ni hizi...
  11. L

    Peak Season for Scholarship Applications

    hello niajee wazeee
Back
Top Bottom