Wanyakyusa sio Mwa, Mwa.. tu!

Kuna mengi mengi kwa wanyaki we acha tu huwezi yamaliza.......
kuna akina
-Ntuli
-Tuntufye
-Tupokigwe
-Ndekile
-Ntumigwa
-Nisile
kwa hiyo si haba
Uchunguzi wa haraka haraka umeonyesha kabila la Wanyakyusa sio tu lina majina yenye mwanzo wa Mwa..., Mwa.. .
Imethibitika pia kuwa kwao kila jina linaloanzia na herufi 'A' linaishia na herufi 'E' na kila linaloanza na herufi 'L' linaishia na 'O'!

'A' kuishia 'E'
Asangalwisye
Andendekisye
Anyigulile
Ambwene
Afyusisye
Anyambilile
Andongolile
Asumwisye
.........nk malizia.

'L' kuishia 'O'
Lugano
Lutufyo
Lusekelo
Lusubilo
Lusajo
Lupakisyo
......na mengineyo.

Nao hawa kwa mbwembwe!
 
Nimemkumbuka dada mmoja pale kandete aliyekuwa anawapoza mabraza wetu wakilewa kindi aliitwa `NGONEPO'.
Loli ale ne kikulu kinywamu fijo u mwinetu jula,ndesi linga akali alipo.
 
Uko sahihi ndugu tunayasahau majina yetu,
Hongera kwa Jaji huyu NJENGAFIBILI MWAIKUGILE, pamoja na usomi wake hajaacha asili yake!
Tunaogopa tukitumia majina ya ukoo watasema wanyakyusa au kabila fulani limejazana wizara au shirika moja.
 
...anzisha thread yako na majina uyajuayo........

.....otherwise "Mzizi wa Mbuyu" (duh sijui ukoje)....hebu tupe kinyaki chake.........

Mkuu nimejaribu kuulizia kwelikweli! nimeambiwa Mzizi wa Mbuyu ni
"UNSI GWA MBUJU"
heheeheee,

Ndimyake Mwakalyelye......tena huyu yuko mamtoni (VOA)! anatambia tu jina lake!
 
Aaagh! hii safi sana.

Anyingisye
Mwakarobo
Mwakatumbula
Mwaipopo

Mpunga wenye rangi ya moto wazungu waliita "FIRE" wao wanaita "FWAJA"!!
Bahasha ni "ENVELOP" wao wanaiita "IFULUPU"

tehetehe,!
 
Arooo check about exceptionist wazeee Wa-UK pia kuna tofauti sio
R.....A
Check pia haya

Rugaijam
Rweyemam
Rugaimukam
Rweyobama(Sorry nadhani hiri rimetokana na Obama pia unaweza kuongeza samahani kama nimekuudhi yaani Im sorry i mean samahan)
You may addd another au unaweza ongeza mengine Wakora waitu thank you saaaanah!
mbakasinge
 
Arooo check about exceptionist wazeee Wa-UK pia kuna tofauti sio
R.....A
Check pia haya

Rugaijam
Rweyemam
Rugaimukam
Rweyobama(Sorry nadhani hiri rimetokana na Obama pia unaweza kuongeza samahani kama nimekuudhi yaani Im sorry i mean samahan)
You may addd another au unaweza ongeza mengine Wakora waitu thank you saaaanah!
mbakasinge

kwani na hao pia ni wanyaki?
 
Kwa wale waliokuwa wanashangaa miisho ya majina haya, wana haki kweli inashangaza!
Mwanjoka ...nyoka
Mwakajumba...kunyumba kadogo
Mwambulukutu...masikio
Mwakanjuki... ka-nyuki kadogodogo
 
Rweyemamu? R ----u

acha kuchafua mada za watu hapa nenda kaazishe mada yenu

wanyakyusa majina yao yanaendelea

kimakyambwele
nennunu
katage
kifulefule
kifwamba
simalike

ngoja nitafute mengine nitawawekea hapa
 
acha kuchafua mada za watu hapa nenda kaazishe mada yenu

wanyakyusa majina yao yanaendelea

kimakyambwele
nennunu
katage
kifulefule
kifwamba
simalike

ngoja nitafute mengine nitawawekea hapa

Cha mtu "haja kubwa" umenichekesha sana mzee!,haya sijawahi kuyasikia ila nimepata maanayake, mengine yanachekesha sana!! heheheee!
 
Tupilike
Syabala
Saasita (sijui kwanini wanalipenda hili jina)
Kilindu
Nakamo
Ndyefiki
Tubale
Alimwene
Kisa
Pakipo
Tukusuma (wenyewe wanafupisha eti Suma)
Tumpale (wenyewe wanajiita Mpale)
Lutufyo
Lukili (hapo Mzee wa Mbuyu ulisahau)
Lukali
 
Majina ya mwanzo ya wnyaq, yanaashiria aliyemtendea au atakayemtendea jambo fulani kimaisha au tabia ya mtu endelevu. Mfano.
Andendekisye- amenitengeneza, amenihifadhi na amenisetiri. Inaonyesha hofu fulani kwa MUNGU.
Gwalugano- aliye na upendo au mwenye tabia ya upendo.
Bupe- utoji wa MUNGU.
Lutengano- amani.
Majina ya kinyaq karibu mengi yanaelezea tukio la wakati wa kuzaliwa mtoto mwenye jina.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom