Kati ya wandishi niliokua ninawapa uzito na kuamini wana ujasili mkubwa wa kuhoji ni pamoja na ww, lkn kwa Bahati mbaya sana umekua mtu wa hovyo sana kuliko wale waliokua hovyo kabla yako. tafadhali njaa sisikupeleke pabaya, Usiwe Kijana wa "ndiyo bwana mkubwa".
Ongera kwa ujasili huo nina amini Mh. Atalipokea wazo lako na Mungu atamtangulia Mhe Rais katika uchaguzi wa Balozi wa kutuwakilisha huko, na mimi nakuombea kwa Mhe ata ukikoswa huo ubalozi basi upate ata nafasi yoyote ndani ya ubalozi wetu uko Cuba.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.