Natafuta msaidizi wa kazi za ndani

Natafuta msaidizi wa kazi za ndani

King Loto

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
1,757
Reaction score
1,543
Wana jamvi nina uhitaji wa msaidizi wa kazi
Sifa:
Jinsia awe mwanamke.
Awe mnyenyekevu, msikivu, mpole, na heshima.
Asiwe na mtoto au mzazi.
Awe na umri miaka 20 mpaka 24.
Awe mcha mungu.
Asiwe mgomvi na mwenye hasira, awe mwenye tabasamu pole.
Awe mtanashati na msafi kimwili na mazingira yanoyomzunguka.
Awe amemaliza angalau kidato cha nne.
Asanteni hilo ndilo ombi langu.
nipm
 
Aje kunipm mwenye karorero hizo hapo juu
Funguka Mkuu sema unatafuta jiko la kuliweka ndani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom