Maisha yanavunja sana mioyo ukiwa weak i swear una RIP.
nakumbuka mwaka fulani huko nyuma nlikua chuo × wakati niko final sikupata mkopo ko ada ni suala la wazazi sasa kipindi hicho ada nlio kua nimepewa nawazazi Kuna matatizo nlipata nkalipa kwa pesa ya ada.
Mda wa UE sijufanya na wazazi...
Ujue hii hali I inataka iwe chronic.
Kuna time hua nawaza sana na hali hii nliyo nayo hivi ntaweza kumkemea mtu kuhusu swala flani baya ambalo anaweza akafanya?.
Naweza kumuongoza mwanamke ipasavya na kua supportive .?
Naweza kurun mradi mzito na nikawa mtu nnae tegemewa kimawazo na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.