Recent content by Leonileo8809

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa DSM ni mikoa gani mingine imekosa kutoa Waziri na Naibu Waziri?

    Siasa za kikenya!balancing!katiba ijayo hawa watu wawe vetted na kamati maalum ya bunge.wasiwe wanasiasa,idadi ya wizara isizidi 12, maana kwa sasa duplication kibao.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Tarime kielelezo cha ufisadi tz

    Kaimu mhandisi wilaya TRM Kassim Shabaan ametokea kudhihirisha usemi kuwa huwezi fanya kazi halmashauri bila rushes ukaendelea. Jamaa kapelekwa majuzi tu lakini kajenga nyumba eneo la Tagota, thamani 150m, duka kubwa vifaa vya Umeme, na kaingiza rv4 Imesajiliwa majuzi tu CSN. Kwa ukwapuaji...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Lets share the wisdom of Obasanjo in " before it is too late letter" to his president.

    Too long to read.nadhani hata Jonathan hataisoma.
  4. L

    JamiiForums Tanzania My tips to hon. Mwakyembe on TPA operations

    Mwakyembe Umeona haya ya Huyu mzalendo?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Rorya iko taabani kifedha

    Rorya majanga.it will never take off.pmu, ujenzi wako kwenye payroll ya Lakairo.the guy claims is a business guru.he toys with cmt's mind. Kazi ipo.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kigoma: CHADEMA watoa tamko kali, waapa kuendelea kumuunga mkono Zitto

    CDM msijidanganye.Tarime bygone story.Chadema vua tented image yenu: tribalism,nepotism,....etc
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM Luhaga Mpina azomewa kwenye mkutano wa Aggrey Mwamri Meatu. Kamanda Mawazo anahusika.

    Pole Luhaga Mpina.hata hivyo imetosha.mshukuru Chambiri kwa mikakati oliyokupa ushindi 2005
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa wa Zanzibar

    Km muungano ni kwa sababu za kiusalama,kuna haja za kuuchk upya.tuvunjilie mbali huu muungano.ni mzigo.
  9. L

    JamiiForums Tanzania R.I.P Ariel Sharon ( shujaa aliyempendeza mungu kwa kulinda taifa lake)

    Israel Taifa Teule!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kigogo Chadema aliyetekwa afichwa

    Chadema bwana.fukuza fukuza haikuzi.inadhoofisha.kinachoshangaza hawaoni km mwisho wao umefika wajipange.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Msajili: Chama chenye vurugu kama chadema kitazaa serikali yenye vurugu

    Chadema haifai!period.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwa uhuni huu wa Fastjet haukubaliki

    Helo JF According to EWURA bei elekezi za mafuta zimeshuka lakini cha kushangaza kwa wana-Tarime, tunanunua mafuta kwa bei kubwa nadhani kuliko sehemu nyingine hapa nchini. Kama niliwasoma vizuri, Kigoma ndo ina bei kubwa kuliko sehemu nyingine nchi. Taarifa: Bei ya mafuta kwa Tarime ni TShs...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

    Missionaries brought the Bible.They ordered us to close our eyes for prayers. When we opened our eyes, they had grabbed all our fertile land, taken our minerals and in return left us with the Bible. Nenda Ulaya, brothers, you will be surprised there are some families that has never had the name...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nipo KIA, si kawaida

    No facts! No idea!...........................................No comment!
  15. L

    JamiiForums Tanzania Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    The whole issue kuhusu Zanzibar kwa sasa ilikuwa ni total blunder! Mwl had a vision for Africa ndio maana hata akataka kuunganisha hadi Kenya & Uganda. Mwl hajataka Tanganyika iitawale Zanzibar. Nahisi angekuwa na mawazo ya kikoloni(read France, England,etc), na kwa udhaifu wa watawala wa...
Back
Top Bottom